Ni sahihi kwa mwanaume wa miaka 46 kumuoa binti wa miaka 23?

wakubwa wana watoto wengi wengine wana mambo mengi sana ya maisha ambayo kubeba mzigo ngumu halafu wameshapitia wanaume weeeeengi
Na wewe kwa huo umri wako wa 46 hujapitia mengi?hauna wanawake wengi au watoto wengi?
Hata kama lengo lako ndio hilo wa miaka 23 ni mdogo sana kufanya naye maisha ila anafaa kudate naye kwa ajili ya starehe tu.
Mbona wapo wa miaka above 30 na hawajazaa pia.
Wa miaka 23 bado akili yake haijakomaa kukabiliana na mikiki mikiki ya ndoa maana ndoa ni zaidi ya mapenzi kuna madhoruba mengi hujitokeza.
Assume mzazi wako anaumwa na amekuja kwako kuuguzwa halafu huyo mkeo ndio anatakiwa amfanyie kila kitu kuanzia kujisaidia kila kitu huyo binti wa miaka 23 hawezi hamalizi mwezi anakukimbia,au assume umefilisika na unalazimika kuhamia kijijini na familia yako halafu mnaanza maisha mapya na mkeo anatakiwa aanze kupika kwa kutumia kuni yeye alishakariri kwamba chakula kinapikiwa na gesi hapo anakukimbia,na kingine pia ameshakariri mambo ya kwenda out na kula chipsi kuku ukipungukiwa kipato ukaanza kumlisha ugali maharage kwa mfululizo pia anakukimbia.
Kingine cha mwisho kwa umri wake bado starehe anakuwa hajazimaliza na raha za utotoni hazijaisha pia kwa hiyo anaweza akawa anaishi na wewe lakini atahitaji kuwa free kwenda kucheza na vijana wa rika lake ambako huko atakutana na vijana masharobaro watamuimbisha wanakula mzigo,bado atatamani mambo ya kwenda club/disco wakati wewe mzee unawaza uende kuangalia Sikinde/bakurutu wapi na wapi.
Kiufupi huzuni na mateso kwako yatakuwa mengi kuliko faida na furaha.
 
Mwanamke n kiumbe cha ajabu sana,anaweza inshi na mtu yeyote na pia ukamfanyia kitu chochote na akavumilia
 
Mkuu we oa TU....ANAFAA HUYO,CHA MSINGI UWE VIZURI MFUKONI...NA PIA UPIGE SHOO YA UKWELI...
 
Sometimes lifestyle matters...

Do your lifestyles match?!

Unaweza kuwa msichana mwenye 23, na lifestyle yako ni za Wadada wa Mjini (kuwa dada wa mjini haimaanishi kwa mdangaji, jinga zenu) lakini ukaja kuolewa na guy ambalo ni 25 lakini mambo yake kama Ndugai mwenye miaka 60!!

Do you think mta-match kwa sababu tu rika lenu ni sawa?! I doubt...

Unaweza ku-feel happy ukiwa na Le Mutuz ambae ni 74 kuliko na huyo wa 25 ambae ni mnoko mnoko kama Jiwe!!!
I agree personality zao ndo zitaamua
Wote wako kwenye umri mzuri tu wa kuishi wote kama wanajitambua
 
hiyo mbona kawaida,,Je yule mzee wa miaka 50 aliyemuoa mtoto wa miaka 6 na kuanza kumpanda akiwa na 9 ???
 
Hizi post huletwa humu na vivulana vishoga. Hapo kuna shida gani wakioana. Tafuta Bwana uolewe wewe acha ya watu. Pumbavuuuu
 
46 ni umri wa zitto kabwe
Msaada hivi mwanaume mwenye umri wa miaka 46 anaweza akamuoa msichana mwenye umri wa miaka 23? Nini madhara yake na kitakacho mkuta mwanamke au mwanaume ni kipi au?

Ushauri na mapendekezo
 
46 bado kijana, ila piga hesabu atakapo kuwa 60 huyo binti atakua 37 anakaribia monopozi
Msaada hivi mwanaume mwenye umri wa miaka 46 anaweza akamuoa msichana mwenye umri wa miaka 23? Nini madhara yake na kitakacho mkuta mwanamke au mwanaume ni kipi au?

Ushauri na mapendekezo
 
Mambo gani hawata wezana.. kumbuka mwanamke wa 20 ni mature kuliko mwanaume wa 30
Mika 23 ni gape kubwa sana, na kuna baadhi ya mambo hawatowezana.
Pia kuna baadhi ya issues zitakua kumu sana kuzifanya kutokana na utofauti mkubwa wa umri
 
Maiaka 15 ijayo huyo dada atakua 38 , umri ambao monopozi inapiga hodi
Baada ya kupita miaka 15, huyo mwanaume akipewa mzigo atawezamo?
Ladies and Gentleman! Mabibi na mabwana! Mwanaume hazeeki! Ndio maana hatusemi mabibi na mababu.
 
Kama anataka watoto huyo 23 ndio atampa watoto wenye afya na probality ya kuzaa ipo juu sana. Mwanamke akisha fika 30+ uwezekano wa kuzaaa ni below 60%

Back
Top Bottom