Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

Kwa mtazamo wa kiimani ya dini ya kiislamu si sahihi.sio kwa mwanamke tu Bali hata mwanaume
 
Huku kwetu Kwamtogole jirani yangu anavaa nguo kama t-shirts za mume wake na khanga au kitenge mume wake akiwa kazini. Si kuwa ninamwonea wivu kwakuwa ana mume ninauliza tu je ni sahihi hivi anavyo fanya?
Baby nilikuambia huko uswazi kuna vijimambo, njoo mjini bhanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…