Ubaya ni kuwa mume hawezi kujipiga na magauni ya mkewe
Asa mtajuaje kama yy ni Mrs flani kama havai T-shirt za Mr wakeHuku kwetu Kwamtogole jirani yangu anavaa nguo kama t-shirts za mume wake na khanga au kitenge mume wake akiwa kazini. Si kuwa ninamwonea wivu kwakuwa ana mume ninauliza tu je ni sahihi hivi anavyo fanya?
Mwenyewe nikitoka kazini nikamkuta baby wangu kavaa hata t-shirt yangu tu huwa nafurahi sana.I LOVE YOU MY WIFE MAMA Dsahihi halafu raha sana
Tafuta na wewe bwana wako uvae nguo zakeHuku kwetu Kwamtogole jirani yangu anavaa nguo kama t-shirts za mume wake na khanga au kitenge mume wake akiwa kazini. Si kuwa ninamwonea wivu kwakuwa ana mume ninauliza tu je ni sahihi hivi anavyo fanya?
Baby nilikuambia huko uswazi kuna vijimambo, njoo mjini bhanaaHuku kwetu Kwamtogole jirani yangu anavaa nguo kama t-shirts za mume wake na khanga au kitenge mume wake akiwa kazini. Si kuwa ninamwonea wivu kwakuwa ana mume ninauliza tu je ni sahihi hivi anavyo fanya?