Chapa mpaka ilale
Senior Member
- May 17, 2018
- 152
- 159
Habarini wana Jamii Forums leo nimeona nishare na nyinyi hii mda maana wanawake ni viumbe ambao hawaeleweki kabisa.
Kuna siku niko kwenye basi maeneo ya majohe hapa SSM sasa nikakutana na dada mmoja kazur balaa ikabidi nianze kutafuta timing nikasema huyu kituo chochote akishuka nashuka nae heeh.
Kwa kuwa mm nilikuwa nimekaa kwenye kiti yeye kasimama pemben yangu muda mwing alikuwa akitupia jicho lake kwenye cmu yngu nikaweka movie kisha nikawa nachek MAPS ME ili nipate navigation ya uelekeo wangu kupitia GPS basi mtoto akawa anashangaa tu jicho kakaza kwenye simu karibu kila nachofanya yy anachek nikimwangalia macho yakigongana anakwepesha.
Tunafika mpaka majpe akashuka na mimi nikashuka sasa kuna mmama alikuwa pemben wameachana umbali fulan hivi mimi sikujua kama ni mama yake.
Ile namfuata mtoto nikaanza kumsoundisha mtoto akawa ananisikiliza gafla nashangaa yule mmama anarud kwa speed kufika tukawaka uyo ww kaka unataka nn kwa uyu binti yngu nikamwambia kuna mtu nimemfananisha nae kawaka tena sio yy kukatokea vurugu na malumbano makali yule mama akawa anaomdoka huku makelele kibao akafika mbali kidogo nikawaambia wale watu waliokusanyika eneo lile kwamba uyu anachofanya si sahihi huku nikitolea ufafanuzi heeh mmama kuona vile naona uyo anarudi tena kwa kasi kawaka uyo " we kaka unasemaje ww kaka unasemaje " pakazuka tena pirukushan.
Bodaboda wakaja kunitoa huku wakinishi ninyamaze nisimjibu ikabidi nikae kimya tu yule mmama akawaka weeeh mpaka alipoona karidhika akasepa na mimi nikasepa.