Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,654
- 171,747
Kata mti panda mti, acha mtu chukua mtu...
True!Ushauri wangu kwako,jipe muda wakutosha hata miezi 3 mpaka 6.View attachment 422922
wewe mbona umekurupuka unamwambia mwenzio asikurupukeUsikurupuke mana watakukurupusha
facts, agiza bia au soda nalipiaWewe kila kitu unaomba advise inaonyesha you are not strong emotionally. Fanya maamuzi kwa akili yako mwenyewe mawazo ya wengine ni opinions tu. Kwenye relationship kamwe huwezi predict future itakueaje dunia sasa hivi mambo yanaenda haraka sana kuwa smart bila kusikia watu wanashauri nini hasa.
Ukweli nikwamba kila mtu atakuumiza tu HATA UKIAMUA KUSUBIRIA HADI MWAKANI mkuu. Chagua mpenzi/mchumba unayedhani utaweza KUVUMILIA chochote kitakachotokea huko mbele. Usiwe "jinga" kama huko nyuma aliweza kumpenda mtu tofauti na wewe halafu wakaachana basi huna budi kukubali ANAWEZA akakuacha hata wewe tena. Usipojiandaa psychologically kwa hili utabadi kulialia tu mkuu.
Mtu sahihi wakumkabidhi MOYO WAKO ni wewe mwenyewe tu.
Siku zote watu wenye hekima na busara huomba ushauri pale wanapokwama.Mkuu sina pakusemea zaid ya hapa..sijawahi kuwa na stress kwa kiwango hichi ..ndiyo maana unaona natafuta soln si kwamba siwezi amua mwenyewe ila natafuta hekima za wengine then nichanganye na za kwangu.
basi njoo tuyajengeKifupi ninakazi tena inanitosha kbsa , ila tambua kwamba kazi ina nafasi yake na mume ana nafasi yake.
Haswa mkuu makosa hayo siwezi yarudia kbsa.Siku zote watu wenye hekima na busara huomba ushauri pale wanapokwama.
Wasikukatishe tamaa. Ushauri ni muhimu sana ktk maisha ya kila mwanadamu mwenye akili timamu.
Mm mwenyew huwa naomba ushauri pale ninapokwama.
Kwasasa dada yangu tulia kwanza sbb kuna wanaume walaghai wengi watakuja kwako nia yao ni kufanya ngono.
Km utaamua kuingia kwenye mahusiano hakikisha huyo mwanaume anafuata utaratibu wote wa ndoa na siyo kukutana guest au nyumbani kwake mbajuke. Aje kwenu ajitambulishe, na pia atoe mahari na harusi ipangwe.
28yrs!!? bibi kizee, tafuta fasta coz umechelewa sana.Hbr za weekend wakuu!
Tangu nimeamua kuachana na mchumba wangu kwa sabbu ya fumanizi kama nilivyoeleza kwenye uzi wa awali nimekuwa ktk wakati mgumu sana.
Tangu nimetupia humu uzi wa kumfumamia mchumba wangu nimekuwa nikipokea PMS nyingi za kutaka mahusiano na mm.
Mtaani pia wanaume wengi wanaojua kuwa nimeacha na mchumba wangu hawaishi kinifuatilia.
Kazini pia nafuatiliwa mpaka kero.
Binafsi sipendi kuingia kwenye mahusiano kwa haraka kwani naweza kosea kwenye kuamua kwangu.
Je naweza jipotezea muda kwa kutokufanya maamuzi ya haraka?
Wakuu naomba ushauri wenu kwenye hili natatizika ukingatia Nina 28 years sasa.
mambo ya pm unakuja kuyasema huku ili iweje? mbna hapa umeomba ushauri na umejibiwa kwani huko uliko hakuna wa kukushauri mpaka uje mtandaoni?Naomba mtambue kuwa sikupost ili nipate mume nilitaka ushauri tu wale mnaokuja pm kunitaka tambue siwezi kutoa muda wangu kwa mwanaume nisiyemjua na hasa wa mtandaoni..niwasihi tu msipoteze muda wenu kunipm kwaajili ya kuomba mahusiano.
Kweli kabisa mkuu. Kwa sisi wanaume kupata mwanamke ni rahisi sanaKwa mwanamke ni sahihi kutulia ili uweze kumpata huyo Mr.perfect. lakini kwa watoto wa kiume kupata mwanamke ni kama kupanda daladala. All the best Binti.