Adimu JF-Expert Member Joined Aug 22, 2013 Posts 678 Reaction score 308 Jan 11, 2014 Thread starter #61 dream chaser said: ulimgombeza kisa simu iko busy au kwa kujibu msg after one hour!! na huyo gf aliomba msamaha wa kosa gan....... Click to expand... Nilimgombeza kwa kunitafuta baada ya 1hr, msamaha aliomba kwa kuchekewa kunitafuta wakati simu aliiona ikiita wakati yuko bize
dream chaser said: ulimgombeza kisa simu iko busy au kwa kujibu msg after one hour!! na huyo gf aliomba msamaha wa kosa gan....... Click to expand... Nilimgombeza kwa kunitafuta baada ya 1hr, msamaha aliomba kwa kuchekewa kunitafuta wakati simu aliiona ikiita wakati yuko bize
Comi JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 3,328 Reaction score 958 Jan 11, 2014 #62 miss chagga said: alikuwa anielewi kabisa ndo nikapiga yoweee Click to expand... vichwa vinatofautiana
miss chagga said: alikuwa anielewi kabisa ndo nikapiga yoweee Click to expand... vichwa vinatofautiana
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Jan 11, 2014 #63 Hahaha! Wacha nicheke jameni! Kuna siku 2taskia jamani mpenzi wangu anataka kwenda haja kubwa nimsindikize ama niache! Haki ya nani!
Hahaha! Wacha nicheke jameni! Kuna siku 2taskia jamani mpenzi wangu anataka kwenda haja kubwa nimsindikize ama niache! Haki ya nani!