Ni sahihi au si sahihi?

Ni sahihi au si sahihi?

ulimgombeza kisa simu iko busy au kwa kujibu msg after one hour!!
na huyo gf aliomba msamaha wa kosa gan.......

Nilimgombeza kwa kunitafuta baada ya 1hr, msamaha aliomba kwa kuchekewa kunitafuta wakati simu aliiona ikiita wakati yuko bize
 
Hahaha! Wacha nicheke jameni! Kuna siku 2taskia jamani mpenzi wangu anataka kwenda haja kubwa nimsindikize ama niache! Haki ya nani!
 
Back
Top Bottom