mbeya yetu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 487
- 102
mie huyonimeelewa ila sijajua nicoment nini? sijui nani amemkosea mwenziee!!!
mie huyonimeelewa ila sijajua nicoment nini? sijui nani amemkosea mwenziee!!!
Hata kama hukupendezwa na tabia yake ungemueleza tu kwa utaratibu!isitoshe mi sioni tatizo lolote!kwani hamuaminiani?labda kama unahisi anacheat,umeshaona dalili zozote nyingine?Mh! hayaa
Jaribu kujieshimu ndugu kabla sijafika mbali
We fika tu mbali lakini ujue mwanaume ni kujiamini. Sasa mademu walalamike,... wanaume nao tulalamike. ... hizo ni akili kweli?...
Mimi sikuja apa kulalamika ila nimeuliza kua nilichofanya ni sahihi au si sahii, tuwe tunasoma mada mkuu kabla yakuchangia
Mi siongelei kulalamika hapa... bali dem wako kuongea na simu, baadae unaanza kumgombeza huko ndiko kulalamika ninakoongelea na ndio kukosa kujiamini. Baada ya kumaliza kuongea na simu wewe ungepiga simu yako na kuongea mambo mengine bila kujali sijui aliongea na mtu mwingine wala nini... ndio uanaume huo
Mimi sijakasirika kisa anaongea na mtu bali ni ile hali ya kupotezea simu yangu wakati siku za nyuma uwa anasitisha stori na ananitafuta mimi kwa dakika chache anasikiliza ni nini namwambia kisha anaendelea na stori zake, sa kwann saivi ananipuuzia apo ndo amenikera
Kwa nini usichukulie tu ize kuwa anaongea na simu akimaliza atanitafuta. Ok... basi imekukera sawa... kwanini usimwambie tu kwa sentensi moja kuwa ... aisee Sijapenda ulivyonipotezea, siku nyingine usifanye hivyo... kisha ukaendelea na mambo mengine. Ya nini kumgombeza?
Nikomae au nikome?
Bado sijakupata fresh
Hahahaa haya ntakomaa
yeleuwiiiii
mbona yowe tena? Umetobolewa au jiwe limempata mhusika? Hahahahahahaaaa