Ni sahihi au si sahihi?

Ni sahihi au si sahihi?

Saa nne za usiku lisaa lizima anaongea na nani?
ungemuuliza mpenzio!it could be anyone!sasa unataka nikupe moyo ni sawa ulivyomgombeza au ndo una guilty consious ndo unataka utolewe hofu?
 
sasa hapa kosa liko wapi hasa?

hivi mwanamke ndio hana haki ya kuwa bize? eti kisa mpenzi wako?

WTF!!! who are you btw?? nyie ndo mnawachezea then mnakimbia tu!!!!

busy awe mwanaume, akiwa mwanamke, eti MALAYA!!!!!! ANA WANAUME WENGI!!!

BADILIKENI, MABADILIKO NI NINYI!!!!
 
Dah kazi unayo ila wanaume sisi bana hujui ni waigizaji bora sana hasa wa filamu za mapenzi so tafakari kisha chukua hatua>>>>>>>!

Ngoja tuone ila vipande nilivyompa naisi sikukosea
 
ungemuuliza mpenzio!it could be anyone!sasa unataka nikupe moyo ni sawa ulivyomgombeza au ndo una guilty consious ndo unataka utolewe hofu?

Kitendo cha yeye kulia kimenifanya nihisi nimekosea
 
sasa hapa kosa liko wapi hasa?

hivi mwanamke ndio hana haki ya kuwa bize? eti kisa mpenzi wako?

WTF!!! who are you btw?? nyie ndo mnawachezea then mnakimbia tu!!!!

busy awe mwanaume, akiwa mwanamke, eti MALAYA!!!!!! ANA WANAUME WENGI!!!

BADILIKENI, MABADILIKO NI NINYI!!!!

Kwa kawaida hua atuongei saana usiku, so ata mimi nikiwa bize alafu akapiga uwa nakata then namtafuta yeye kisha naendelea na stori zingine na yeye pia ilikua ivyo bt now hajali tena kusitisha stori for few minutes
 
halafu watu wengine bwana!yaani mtu mpaka alie ndo uone umekosea!hujui kutofautisha kati ya baya na zuri?

Uamuzi wangu sikuona kama ni mmbaya ila swali ni je kilio chake kinamaanisha nimemkosea au na wewe waona kweli nimekosea au
 
Back
Top Bottom