Ni sahihi au si sahihi?

Ni sahihi au si sahihi?

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
678
Reaction score
308
Nimempigia simu mpenzi wangu nikakuta yuko bize alaf akantumia text baada ya lisaa lizima eti anaomba msamaha, nikamgombeza adi akalia na mwisho wa siku nikaona kama nimekosea kumgombeza! Je hana kosa nimuombe msamaha au amenikosea?
 
ushukuru ata katuma sms...mwengine angeuchuna tuu
 
Mapenzi sio kifungo!jipeni nafasi coz kwa mtazamo wangu mtachokana haraka!sim ya mpenzi wako inaruhusiwa kuwa busy at times hata yeye ana watu wengine anaowasiliana nao zaidi yako kama marafiku,ndugu n.k
 
Saa nne za usiku lisaa lizima anaongea na nani?
 
Dah kazi unayo ila wanaume sisi bana hujui ni waigizaji bora sana hasa wa filamu za mapenzi so tafakari kisha chukua hatua>>>>>>>!
 
Back
Top Bottom