Ni reference gani huru kutoka kwa Mungu inatumiwa kuthibitisha kuwa Biblia na Quran ni vya Mungu mwenyewe na si kazi za ubunifu?

Miungu ni mingi, ila Mungu aliyeumba mbingu na nchi ni mmoja. Kumbuka hii miungu ninayoisema ina wafuasi/waamini wake wanayoitambua kama Mungu. Kwa hiyo kila wafuasi wanamnasibisha kuwa mungu wao ndiye muumba wa mbingu na nchi, na vitu vyote vilivyomo.

Endelea kuutafuta ukweli, utaupata na utakuwa huru kweli kweli.
Huyo Mungu mmoja nitamjuaje ili nisiendelee kupotoshwa?. Zingatia pia kunipa reference huru ili niweze kuthibitisha ili na wewe usije nipotosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijawahi kuamini katika coincidence ya ecosystem na nature kwa ujumla wake, kwamba namna vitu kama jua,mwezi,mimea,wadudu,wanyama,bahari,mito n.k vinavyosapotiana kwa pamoja ili tu uhai uendelee kuepo ni imetokea tu kwa bahati mbaya? Kuna aliyeviumba hivyo vitu nakutengeneza system ya namna vitakavyofanya kazi.....mtoa post naona unataka kuturudisha kwenye zile mada za kati ya kuku na yai kipi kilianza kutokea!....
Mbna kama mnamsemea wakati yeye hajathibitisha?
 
Kwa hiyo munataka kusema HAMASI hawapewi mabikira72 kila mmja kama advance, hii 👆 Sasa ni hasara kubwa sana
 
Jaman nyie watu wa biblia na Quran ina maana hakuna reference huru mnayoitumia?
Kama haipo huo ujasiri wa kusema vitabu vyenu vimeshushwa mnautoa wapi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom