Ni Rais Gani wa Tanzania aliyepoteza mvuto na kuchokwa na Watanzania mapema sana?

Maswali yako hayana mpangilio mzuri ili MTU akijibu uelewe kajibu kipengele gani kwani majibu yako ya kuchagua yanafanana
Bac hata shule ulikuwa ukifail sana mitihani. Kila swali lina number yake ni kiasi cha kuweka kwa mfano.
1.A
2. A
3. A
 
Mie kati ya Manchester united na Chelsea naipenda sana yanga alafu Chuo kikuu nilisomea pale iliboru.kuna kozi moja nlisoma pale TFF nikafaulu sana nikaenda kufanya Nazi BOT lakn nlienda ureno kulala na njaa.
 
Ndugu zangu kwa heshima na kuweka mihemko pembeni ningependa mueleze; "

1. Ni Raisi gani wa Tanzania kati ya wafuatao aliyepoteza mvuto, matumaini na hata kuchokwa na Raia wake mapema sana.

A)Hayati JK Nyerere
B) Mwinyi.
C) Benjamini Mkapa
D) Kikwete
E) Dkt J.P. Magufuli.


2. Pia kati ya Maraisi wote wa Tanzania ukitoa Nyerere. Ni yupi alikuwa anamvuto kuliko wote?

A) MWINYI
B) MKAPA
C) KIKWETE
D) MAGUFULI

3. Ikitokea kati ya Maraisi wasitafu wa tanzania wakagombea Uraisi Tena. Yupi kati yao utampigia kura.?
A) MWINYI
B) MKAPA
C) KIKWETE
D) MAGUFULI.


Itakuwa poa ukitoa maelezo kwa ufupi.

JOHN POMBE MAGUFULI ameweka rekodi ya kuchokwa mapema kuliko marais wote waliopita
 
Thread kama hizi zitakuwa nyingi sana kipindi hiki, hata tukitaja hatuwezi kubadilishaa jiwe kuwa dhahabuu

*tuendelee kuzisoma tuu 346864432888854488 hadi tufaulu ndo kwanza tunazianza*
 
Pole sana mtoa mada. fananisha waliomaliza muda wao tu! All in all ukisha fananisah halafu iweje. Chapa kazi acha kupoteza muda mitandaoni!
Huenda yuko kazini ana collect data alafu ata zi analyze kukamilisha research yake atakuwa anachapa kazi kuliko wewe unavyofikiria.
 
Back
Top Bottom