Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,015
- 4,362
Hello
Ni raha iliyoje kuwa na mtoto!
Unajiona kama Mungu mtu vile,
When you look at him/her lazima utabasamu,
holding your child is sooooo sweeter kuliko kitu chochote kile hapa duniani
I am sooooo proud being a father,
Kwa wale ambao hamjabahatika kupata mtoto hamwezi elewa ninachokiongea
Je kwa wote wenye watoto mnafeel this way! ama ni ulimbukeni wangu wa kupata mtoto wa kwanza?
hongera bwana....i wiiiiiiiiiiiiish
yeah ni raha sana, ukipata wajukuu raha inadouble.
yah..ni raha mnoooooo. Hongera mkuu
Usiniambie tayari una wajukuu
Hello
Ni raha iliyoje kuwa na mtoto!
Unajiona kama Mungu mtu vile,
When you look at him/her lazima utabasamu,
holding your child is sooooo sweeter kuliko kitu chochote kile hapa duniani
I am sooooo proud being a father,
Kwa wale ambao hamjabahatika kupata mtoto hamwezi elewa ninachokiongea
Je kwa wote wenye watoto mnafeel this way! ama ni ulimbukeni wangu wa kupata mtoto wa kwanza?
unauhakika ni mtoto wako.
Hongera mnooo kwa kupata mtotroo, but yafaaa kumsifu na kumshukuru mungu,,,na kumuomba amlinde!
Kwasababu hukumpata kwa uweza wako,,,,
mweeeeee my lovely twin hongera zako kwa kweli pmoses95 hongera sana tutajipaga na Fixed Point tuje tumsabahi baibeHello
Ni raha iliyoje kuwa na mtoto!
Unajiona kama Mungu mtu vile,
When you look at him/her lazima utabasamu,
holding your child is sooooo sweeter kuliko kitu chochote kile hapa duniani
I am sooooo proud being a father,
Kwa wale ambao hamjabahatika kupata mtoto hamwezi elewa ninachokiongea
Je kwa wote wenye watoto mnafeel this way! ama ni ulimbukeni wangu wa kupata mtoto wa kwanza?
mweeeeee my lovely twin hongera zako kwa kweli pmoses95 hongera sana tutajipaga na Fixed Point tuje tumsabahi baibe
Hongera sana sana sana!!!!!!!
Hivi mkuu mbona kama ni juzi juzi tu ulifunga ndoa...
Kweli muda unakimbia...hongera sana