Ni raha sana kufanya mapenzi kwenye ndege

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Kuna mtu amejaribu?

1. Download flightstat ili kujua hali ya hewa.

2. Lazima uwe sharp.

3. Hakikisha choo ni zaidi ya kimoja na mwanamke atangulie kabla yako kuingia chooni.

3.Jua muda gani safari itachukua.

4. Usiwaze watu wanakutazama.

5. Fanya haraka kumaliza usikutwe na tangazo la kufunga mikanda.

It is a memorable occasion, usisahau selfie baada ya kumaliza.
 
mi nikajua umeleta uzoefu wako ulioupata utushawishi na sie tukafanye....
 
Mwingine kaweka thread anaelezea raha ya kufanya mapenzi kwenye gari, wewe kwenye ndege. Mwingine atakuja na uzi wa utamu wa kufanyia mapenzi juu ya farasi, mwingine atakuja kueleza namna mapenzi ya fasta fasta ya vichakani yalivona raha etc.....

"MAPENZI YANA RUN DUNIA"
cc Ali kiba
 
Wewe weka yako sasa
 
Ndio huyo huyo Mpwa sio mtu mwingine. Nikampa uzoefu wangu wa kufanya nikiwa kwenye foleni kaishia kuniita Mzinzi
 
Ndio huyo huyo Mpwa sio mtu mwingine. Nikampa uzoefu wangu wa kufanya nikiwa kwenye folenu kaishia kuniita Mzinzi

Lol umezidi uzinzi these things nafanya na my wife anapenda strange sex
 
kwani kuna tofauti gani na kitanda changu cha kichanja kilichoko aridhini?????
 
Ndio huyo huyo Mpwa sio mtu mwingine. Nikampa uzoefu wangu wa kufanya nikiwa kwenye folenu kaishia kuniita Mzinzi

Daa....watu kwa bandika bandua hawajambo
 
Hata kwenye baiskeli, ukifanya mtainjoi saaana!
Cha msingi hakikisha barabara ni mteremko!
 
Mwingine kaweka thread anaelezea raha ya kufanya mapenzi kwenye gari, wewe kwenye ndege. Mwingine atakuja na uzi wa utamu wa kufanyia mapenzi juu ya farasi, mwingine atakuja kueleza namna mapenzi ya fasta fasta ya vichakani yalivona raha etc.....

"MAPENZI YANA RUN DUNIA"
cc Ali kiba

umesahau kutaja bajaji
 
Back
Top Bottom