Ni rafiki yangu nimrudishie pesa yake?

Ni rafiki yangu nimrudishie pesa yake?

labda umpe na tigo ndio ataniachaaa hapa lazima arudi Tu chezea kitu mnato

Hahaha ntajuaje mie mnato weka picha nione,,mbona alivyoonja kadat sema namuonea huruma coz kanambia kaoa last year
 
sasa huku ushenzini ujanja nitautoa wapi ,mbona nawe unakua kashamba tena

Haha mie nmezaliwa Kagame city, wabongo mna shida sana hasa videm vya uswazi hamjiamini hahahah
 
Dah....hawa wanawake...Mungu saidia!

Anyway, keep your word. Mlikubaliana utamrefund. Please, do so.
 
Acha upuuzi, watu wamechukua Murano na hawajarudisha, sembuse hivyo viji laki
 
Haha mie nmezaliwa Kagame city, wabongo mna shida sana hasa videm vya uswazi hamjiamini hahahah

Mi nilidhan umezaliwa Uk au USA kumbe huko kwa warefu kama nguzo za umeme!!!!!!!!!!!SMH
 
Hahaha ntajuaje mie mnato weka picha nione,,mbona alivyoonja kadat sema namuonea huruma coz kanambia kaoa last year

ndio hivyo bibie utabaki kua mchepuko kifagio Mie ndio nishakaba lazima ajeee,angalia usijekua mchepuko mpaka unazeeka
 
Hahaha ntajuaje mie mnato weka picha nione,,mbona alivyoonja kadat sema namuonea huruma coz kanambia kaoa last year

muulizeee yeye we huoni akiwa kwako hachelewi kuondoka na anajificha fichaa,subiri kibuti tu
 
Fanya uamuz uliosahihi ambao unaona hauwez kukucost ww na yy!
 
Je, umeshajiuliza atareact vipi kwa kuamua kuja kumuanika hadharani kiasi hiki? Si ungemwambia tu pembeni kwamba nilikuwa nakujaribu tu nione upendo wako kwangu ukoje? Huu ni ushauri tu usiendekeze sana upendo kupitia pesa siku nyingine zitakuja kukutokea masikioni. Ni ushauri tu.

kuacha kuchati nae siwezi kuacha coz ni mtu mzuri sana kwangu yani siwezi nlichohitaji ni ushauri je nirudishe pesa zake ama nikaushe of coz nackia kama hukumu flan i wish nimrudishie japo sijui atareact vipi!
 
Khe khe kheeeeeeee eti nimejipinda lol! sikaja kuomba ushauri? Mie nimempa ushauri wangu wa thumni lol! Mzima weye? Weekend wapi?

Haaa umukagame hizo ndio story zake...

Weekend niko kitandani kwangu tu.... Na wewe uko salama
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom