Ni rafiki yangu nimrudishie pesa yake?

Ni rafiki yangu nimrudishie pesa yake?

Huo upendo naogopa kudiscus lol.. is jus babylove only
 
Inawezekana labda wewe hufahamu uliza!
 
Mama ahsante saana kwa ulivyonifanyia ...ukwel ulivyosema niji active mwenzio nikafungua id nyingine..plz nirudishie changu faster kabla mashetan ya nyumban hayajapanda...plz plz
 
kuacha kuchati nae siwezi kuacha coz ni mtu mzuri sana kwangu yani siwezi nlichohitaji ni ushauri je nirudishe pesa zake ama nikaushe of coz nackia kama hukumu flan i wish nimrudishie japo sijui atareact vipi!

Hela rudisha kwa sababu uliahidi. Issue kubwa hapa ni umecheza na hisia za jamaa na za mkewe pia, yaani umetupunguzia tu jam ya kuingia mbinguni. Katubu fasta.
 
Thats a great friend, fanya muwe family friends tu ikiwa wote mna nia moja
 
Daah maisha haya

unakuta huyo baba mwanawe karudishwa ada tena lakini 2 imebaki amalizie mpaka leo bado kakaa home week mbili

ila kwako ikatumwa baada ya muda gani vile?
 
Ukute jamaa home anaacha hela ya maharage na dona. Hakika mkewe atakoma hadi mwezi uishe!!
 
daah maisha haya

unakuta huyo baba mwanawe karudishwa ada tena lakini 2 imebaki amalizie mpaka leo bado kakaa home week mbili

ila kwako ikatumwa baada ya muda gani vile?

Atakua hana majukumu, likely ndoa ni changa wenye mambo ya stress za maisha haya ya kibongo seldom kuwaona humu plus kuchat sana mpk wakapendana
 
Atakua hana majukumu, likely ndoa ni changa wenye mambo ya stress za maisha haya ya kibongo seldom kuwaona humu plus kuchat sana mpk wakapendana

nilivyosomaga kwa shida sababu ya michepuko ya dingi

nhoja nitoke kabisa kwenye huu uzi
maana sitaki kulia
 
Ukute jamaa home anaacha hela ya maharage na dona. Hakika mkewe atakoma hadi mwezi uishe!!

usiongeee my dear
nime experience hii mambo utotoni
mnaachiwa ela ya mahindi tu
ya mboga haijulikani ndo mama anaunga unga
lakini dingi anampunga unakoenda HATUJUI
 
Kiukweli mrudishie hela yake alikusaidia kama rafiki
 
Subir mda ufike urudishe kwan si umekopa sa unaleta upuuzi wa nn humu...si lazima uweke mada km huna kaushaaa pumbaaaaaffff
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom