Ni rafiki yangu nimrudishie pesa yake?

Ni rafiki yangu nimrudishie pesa yake?

Your story just makes women look bad.
We si umekopa? Even if ukitumia bado utarudisha right? (If taking responsibility for your debts means anything to you)
Anyways cjaona cha kuombea ushauri ihali hata ukiitumia sheria ya deni bado ni kulipwa!
 
Atakua hana majukumu, likely ndoa ni changa wenye mambo ya stress za maisha haya ya kibongo seldom kuwaona humu plus kuchat sana mpk wakapendana

Mwenzetu mmbo safi hana sana tu hana strees za maisha kwa jinsi navyomuona
 
Subir mda ufike urudishe kwan si umekopa sa unaleta upuuzi wa nn humu...si lazima uweke mada km huna kaushaaa pumbaaaaaffff

Punguza strees mkuu kama huna cha kuchangia ungepita tu acha upmbi
 
umukagame

Mchizi atajisikia vibaya sana akikusoma hivi maana si umesema mmekutana JF! Kaa nayo siku kadhaa then mrudishie, utakuwa umejenga uaminifu kwake na siku nyingine ukiwa na shida ya kweli anaweza kuwa msaada kwako

Post of the day.
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani Huna shida ya hela. I don't understand. Nahisi it's a cooked story.

Shida ni za kawaida kwa binadam kuna zile za ziad na muhimu ambazo inakuj ghfla then inafikia unaomba msaada but sikuwa na shida yyte ya kufanya niombe
 
hahaaaaa mwanamke ni bad debtor..kopa tena kama nipige tafu ya vodacom..kurudishaaa iwee ndotoo
 
Kwa kuongezea mleta mada achana na mume wa mtu.

Masingle tuko kibao humu.
 
Kumbe ulinambia tudeactivate ac. mwenzangu una nyingine eeehh,,, hiyo hela rudisha tu kwangu kama unataka tuendelee kuchat
 
Mama ahsante saana kwa ulivyonifanyia ...ukwel ulivyosema niji active mwenzio nikafungua id nyingine..plz nirudishie changu faster kabla mashetan ya nyumban hayajapanda...plz plz

Hahahahahhahahhahahaha uwiiiii JF raha sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom