Ni polisi au mwanajeshi?

Ni polisi au mwanajeshi?

Toka enzi za JK.POLISI,JU,zimamoto,uhamiaji wote wana pita JKT kwanza ndio waende huko.
Sasa huko kujiona bora sijui kunatokana na nini wakati wote wako sawa tofauti ni jezi na majukum tu.
Yaani kupita JKT kwa namna yoyote ile haiwafanyi polisi wawakaribie wanajeshi wetu hata robo. Mafunzo wanayopitia ni kama ardhi na mbingu vitu viwili tofauti. Hao wengine push up kwenye godoro, wanaume kazi za kibeto.
Sangwile makamanda...Viva TPDF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JAMANI SAMAHANI KIDOGO NAJUA KUNA WAJUZI KIDOGO KWENYE HILI Hivi kwenye Operation za kutuliza Amani sehemu kama Kongo Au somalia chini ya UN hivi Kati JW na POLIS anaehusika zaidi ni nani? au wanahusika wote kila mmoja na sekta yake au anae husika ni mmoja then mwingine hausiki???....please mwnye uelewa naomba mnijibu..[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliwahi kusikia polisi wanalinda amani kupitia UN au unaongelea Interpol?

Polisi hawa uwapeleke Kongo wasivyokuwa waadilifu si watauza hata viatu vyao watembee peku mbugani.
Kijana mbona una maneno ya kejeli sana kwa jeshi letu pendwa la polisi.
 
Mbona wote wana enda peace keeping training na majaribio polisi wanafunzu vizuri tu.kwa taarifa yako darful polisi wapo.
 
Yaani kupita JKT kwa namna yoyote ile haiwafanyi polisi wawakaribie wanajeshi wetu hata robo. Mafunzo wanayopitia ni kama ardhi na mbingu vitu viwili tofauti. Hao wengine push up kwenye godoro, wanaume kazi za kibeto.
Sangwile makamanda...Viva TPDF

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani kamanda maji kupanda mlima.
Kazi ya jeshi ni ngumu, lazima ugangamale.
Sio kama...push ups kwenye godoro
Kuwa kama msoja push ups kwenye kokoto

Nawashangaa hao wanaosema hawa wako sawa utofauti ni majukumu tu.
"If they know nothing, they better zip their mouth."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Police wapo katika mission mbalimbali na inategemea aina gani ya mission na majukumu ya police na jw ni tofauti mission kibao police wapo na sio kila mission za nje mnazijua ila ni ushabiki tu tuliobaki nao sis RAIA katika majeshi yetu ila katika basic training zote za medani za kivita ni sawa ni mifumo ni ile ile tu tofaut ni uniform tu
 
Uliwahi kusikia polisi wanalinda amani kupitia UN au unaongelea Interpol?

Polisi hawa uwapeleke Kongo wasivyokuwa waadilifu si watauza hata viatu vyao watembee peku mbugani.
Sijajua kwa Kongo, lakini huko Somalia naona kuna polisi wa AMISOM. Pitia tovuti hii; AMISOM
Screenshot_20190120-121955.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom