Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Upo chupa ya ngapi Mkuu???Kuna mtu ananiambia hapa kuwa:
Visa ni yai bovu.
Passport ni picha ndogo ya kichwa.
Kwa lugha rahisi ya kimtaa!
Upo chupa ya ngapi Mkuu???Kuna mtu ananiambia hapa kuwa:
Visa ni yai bovu.
Passport ni picha ndogo ya kichwa.
Kwa lugha rahisi ya kimtaa!
Ufafanuzi mjarabu kabisaVisa ni kibali kinachotolewa Na nchi husika ili uweze kuishi ktk nchi hiyo Kwa shughuli/jambo Fulani.
Mfano kuna visa ya Biashara & Utalii.
Passport
Ni hati/Nyaraka inayomilikiwa Na nchi husika,ambayo inamuwezesha muhusika kusafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine.
Kuna jambo pia huwa linanitatiza.Kwa kuongezea, passport inatolewa na nchi yako, visa inatolewa na nchi unayotaka kwenda.
Kwa mfano wewe ni mtanzania, basi unapaswa kuwa na passport ya tanzania.
Kama unataka kwenda Marekani, basi wakati unafuatilia utaratibu pale ubalozi wa US, wataibandika visa ya Marekani kwenye passport yako.
(Baadhi ya nchi wanagonga muhuri tu na kujaza idadi ya siku utakazo kaa kwenye passport yako)
Kwahiyo passport ni utambulisho wako kama mtanzania huko ugenini, wakati visa ni kibali cha wewe kuingia na kufanya shughuli iliyokupeleka huko ugenini.
NB. Passport inakua na kurasa nyinginyingi, hivyo kila anaposafiri viza huwekwa kwenye ukurasa tofauti, hadi pale passport yako itakapo jaa.
Visa ni kibali kinachotolewa Na nchi husika ili uweze kuishi ktk nchi hiyo Kwa shughuli/jambo Fulani.
Mfano kuna visa ya Biashara & Utalii.
Passport
Ni hati/Nyaraka inayomilikiwa Na nchi husika,ambayo inamuwezesha muhusika kusafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine.
Kuna ukakasi,pengine Kwa rafiki yako,either kwa afisa uhamiaj wa nchi aliyofikia,ikiwa documents zote zipo sawa Na kule akakataliwa kuna kua Na factors nyingi ila kinachofanyika angeomba kuonana na kiongozi wake hapo angeruhusiwa kupita mara nyingi hua ni ubaguzi wa rangi,angekomaa angepita.Kuna jambo pia huwa linanitatiza.
Mmesema visa ni kibali cha kukubaliwa kuishi nchi fulani kwa jambo fulani ambalo umepanga uende kufanya.
Swali: Sasa kwanini baadhi ya nchi, wakikukagua na kuona hujakidhi kuishi nchini mwao huwa wanakurudisha?
Je,wale waliokukatia visa hawakujiridhisha hapo awali kabla ya kukupa hiyo visa?
Au wakishakukagua ndipo wanakupa visa?
Maana kuna jamaa yangu mmoja karudishwa Airport kisa tu wameona hana uwezo wa kumudu gharama za kuishi nchini Hispania. Je,wakati wanamkatia visa hapa Tanzania hawakukagua hayo mpaka kafika huko Hispania ndio wakaliona hilo?
Hapo kwenye ubaguzi ndio naona kidogo naweza pata mwangaKuna ukakasi,pengine Kwa rafiki yako,either kwa afisa uhamiaj wa nchi aliyofikia,ikiwa documents zote zipo sawa Na kule akakataliwa kuna kua Na factors nyingi ila kinachofanyika angeomba kuonana na kiongozi wake hapo angeruhusiwa kupita mara nyingi hua ni ubaguzi wa rangi,angekomaa angepita.
Na hawa ndo watu pori Wenyewe wamekuja kumpoteza fala sana we jamaa🤣😂🤦🤪Kuna mtu ananiambia hapa kuwa:
Visa ni yai bovu.
Passport ni picha ndogo ya kichwa.
Kwa lugha rahisi ya kimtaa!
Ikitokea huko Marekani ,ukapoteza passport na visa,utafanyaje?Kwa kuongezea, passport inatolewa na nchi yako, visa inatolewa na nchi unayotaka kwenda.
Kwa mfano wewe ni mtanzania, basi unapaswa kuwa na passport ya tanzania.
Kama unataka kwenda Marekani, basi wakati unafuatilia utaratibu pale ubalozi wa US, wataibandika visa ya Marekani kwenye passport yako.
(Baadhi ya nchi wanagonga muhuri tu na kujaza idadi ya siku utakazo kaa kwenye passport yako)
Kwahiyo passport ni utambulisho wako kama mtanzania huko ugenini, wakati visa ni kibali cha wewe kuingia na kufanya shughuli iliyokupeleka huko ugenini.
NB. Passport inakua na kurasa nyinginyingi, hivyo kila anaposafiri viza huwekwa kwenye ukurasa tofauti, hadi pale passport yako itakapo jaa.
Minimum requirements ni $5000 Kama reserve balance kuishi ktk nchi yeyote Kwa kichwa kimoja,au viwili..Hapo kwenye ubaguzi ndio naona kidogo naweza pata mwanga
Kwa maana alienda nchi kama 5, nne kati ya hizo wala hakukuwa na tatizo wakati wa kukaguliwa visa yake.
Ila alipotua tu Hispania ndipo wakaona hilo tatizo.
Maana walimkagua mpaka hotel atakakayofikia wakakuta kweli kalipia vizuri tu ,ila tatizo likawa kwenye pesa za ziada za matumizi wakaona huyu hatamudu hivo akarudishwa Tz.
Hivo akakatwa %ya usumbufu katika hotel,zilizobaki akarudishiwa.
Tulimuuliza kwanini asingekomaa, anasema visa waliichana baada ya kuona anataka kwenda kisheria zaidi.
Akaona ya nini kufia ugenini...akaamua kurudi nyymbani.
Visa hua attached katk passport, ukipoteza unaenda ktk ubalozi wako..Ikitokea huko Marekani ,ukapoteza passport na visa,utafanyaje?
Kwa kuongezea kidogo, Ni Hati ambayo mamlaka ya nchi/Rais/Ufalme una(ana)kutambulisha kuwa wewe ni Raia wake katika nchi za ugenini, Hivyo anaomba upate msaada wowote unahohitajika ndani ya nchi ya ugenini, mara nyingi kuingia kwenye nchi husika.Ni hati/Nyaraka inayomilikiwa Na nchi husika,ambayo inamuwezesha muhusika kusafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine.
Ni kweli unaweza kuwa na visa halali na bado ukazuiwa kuingia nchi husika.Kuna jambo pia huwa linanitatiza.
Mmesema visa ni kibali cha kukubaliwa kuishi nchi fulani kwa jambo fulani ambalo umepanga uende kufanya.
Swali: Sasa kwanini baadhi ya nchi, wakikukagua na kuona hujakidhi kuishi nchini mwao huwa wanakurudisha?
Je,wale waliokukatia visa hawakujiridhisha hapo awali kabla ya kukupa hiyo visa?
Au wakishakukagua ndipo wanakupa visa?
Maana kuna jamaa yangu mmoja karudishwa Airport kisa tu wameona hana uwezo wa kumudu gharama za kuishi nchini Hispania. Je,wakati wanamkatia visa hapa Tanzania hawakukagua hayo mpaka kafika huko Hispania ndio wakaliona hilo?
je passport ile ya kijani mwisho kubadili ni lini? je kama ninayo na haija expire nikipata deal lakusafiri nje naweza itumia?
Mhhhh....Minimum requirements ni $5000 Kama reserve balance kuishi ktk nchi yeyote Kwa kichwa kimoja,au viwili..
Aisee, ndio shida ya nchi za wenzetu.Ni kweli unaweza kuwa na visa halali na bado ukazuiwa kuingia nchi husika.
Nadhani ni utaratibu tu wa kujihakikishia kuwa visa ilitolewa kwa kuzingatia vigezo vyote, kwasababu watu wa ubalozini wanaweza kufanya makosa au unaweza kufanikiwa kuwadanganya.
Hivyo ukifika point of entry ni lazima wahakiki taarifa zako upya na kama kuna makosa yalifanyika ubalozini basi utazuiwa kuingia.
Asante sana kwa ufafanuzi mkubwa mno mkuu, kwa msaada wenu tayari nimeweza kushughulikia passport na nimeshaipata, SWALI ni je zile kurasa za passport zikijaa kabla ya passport kuisha muda wake utaratibu ukoje je utaomba passport nyingine au kuna utaratibu mwingine?Kwa kuongezea, passport inatolewa na nchi yako, visa inatolewa na nchi unayotaka kwenda.
Kwa mfano wewe ni mtanzania, basi unapaswa kuwa na passport ya tanzania.
Kama unataka kwenda Marekani, basi wakati unafuatilia utaratibu pale ubalozi wa US, wataibandika visa ya Marekani kwenye passport yako.
(Baadhi ya nchi wanagonga muhuri tu na kujaza idadi ya siku utakazo kaa kwenye passport yako)
Kwahiyo passport ni utambulisho wako kama mtanzania huko ugenini, wakati visa ni kibali cha wewe kuingia na kufanya shughuli iliyokupeleka huko ugenini.
NB. Passport inakua na kurasa nyinginyingi, hivyo kila anaposafiri viza huwekwa kwenye ukurasa tofauti, hadi pale passport yako itakapo jaa.
Astaghafiluuu! Babu zetu hao walitawala nini mawee! Mkwawa, Milambo, Mkama marumbo, isike weee temea mate chini! somo la Hx ulikimbia wewe!
Utaomba passport nyingine nduguAsante sana kwa ufafanuzi mkubwa mno mkuu, kwa msaada wenu tayari nimeweza kushughulikia passport na nimeshaipata, SWALI ni je zile kurasa za passport zikijaa kabla ya passport kuisha muda wake utaratibu ukoje je utaomba passport nyingine au kuna utaratibu mwingine?
Big noooooooo! Ulilishwa matango pori hayoo! mpaka umevembewa, na bado umevembewa!... ndo tatizo ya shule za kata!! Sisi tulikuwa wajanja tangia Misri ya kale ni mali yetu ile! tunaitaka irudi,Kipindi Chao walikuwa hawajastaarabika.
Ndo maana walikuwa wanachezea almas BAO .hayo Mambo ya visa na passport wangeyajulia wapi?.