mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,394
- 57,255
UNAOTA WEWE.
wazee wetu wangekuwa wanajielewa wangekuwa wanabeba malighafi na kupeleka ulaya na marekani?.na wao kubebwa UTUMWA?
Ukoloni pia una faida zake.
Umetuletea ELIMU,nguo ,mitambo n.k
wazee wetu wangekuwa wanajielewa wangekuwa wanabeba malighafi na kupeleka ulaya na marekani?.na wao kubebwa UTUMWA?
Ukoloni pia una faida zake.
Umetuletea ELIMU,nguo ,mitambo n.k
Big noooooooo! Ulilishwa matango pori hayoo! mpaka umevembewa, na bado umevembewa!... ndo tatizo ya shule za kata!! Sisi tulikuwa wajanja tangia Misri ya kale ni mali yetu ile! tunaitaka irudi,
Na hapo MIsri siyo mbali na Shinyanga yaani unatirirIka na mto Nile tuu mpaka victoria ! unajaa Maganzo! asa iweje wao watufundishe matumizi ya haya makitu wakati ni yetu? na Pharaos wa misri walikuwa wanazitumia Miaka dahari?
Hapo bado sijasema Middle east!