Ni nini Tafsiri ya HAPA KAZI TU?

Ni nini Tafsiri ya HAPA KAZI TU?

fanya kazi kwa muda uliopangiwa

fanya kazi yako kwa kuzingatia sheria ,kanuni na taratibu za utumishi .

fanya kazi bila kupokea rushwa wala kuiba.

fanya kazi kwa bidii na maarifa.


ukitimiza hayo anza kudai maslahi yako yaongezwe.

timiza wajibu wako.

ukishindwa hayo acha kazi nenda kafanye kazi zako binafsi na huko ukienda kumbuka kulipa kodi na kufuata taratibu na sheria za nchi.


HAPA KAZI TU.
 
Hapa kazi tu=maisha bora kwa kila mtanzania iliyotupeleka shimoni
 
Back
Top Bottom