Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,849
- 50,566
Tangu Mgombea wa CCM ajitenge na chama chake na kuibuka na kauli mbiu ya "Hapa kazi tu" kundi kubwa la wanachama wa chama chake wameishabikia kauli mbiu hiyo yenye utata! Magufuli anaposema hapa kazi tu anamaanisha kazi hazipatikani, waliopo hawafanyi kazi,sasa hivi hakuna kazi yeye ndiyo ataleta kazi, kazi hazina tija, kazi hazina maslahi,au kazi zilizostahili kufanywa na wazawa ambazo kwa sasa zinafanywa na wageni akiingia yeye ndiyo wazawa watapewa??