Ni nini sababu ya wewe kununua simu mpya?

Mimi ilikuwa iPhone 5 nilitamani iPhone 7 sasa Nina zote mbili.
Me yangu ilokua tab niliinunua kwa ham nilikua nataman tu kutumia tablet kizaazaa nikiwa mbele za watu kuipokea watu wananiangalia naona had aibu na vile nibebe handbag hata kwa safar zisizohitaj nibebe nikaona mzigo huu
 
Simu kwangu kuharibika ni nadra sana, kununua simu halafu bado ninasimu nzima tu hii kitu haijawahi kutokea. Labda simu niliyokuwa nayo ipotee hapo ndipo nitanunua nyengine.
 
Haya mambo ya kubadili badili simu (kwenda fashion) naona mnayo sana nyie wanawake aina tofauti na kubadili badili nguo au mikoba ya fashion.
Naamini ukionekana una kitu kipya kila siku ndio furaha yenu.

Ni nadra sana kumkuta mwanaume akifanya hivyo.
 
Hii yangu nimeifunga na rubber band,ina crack kwa screen,lakin nakomaa nayo mpaka izime yenyewe
 
Me yangu ilokua tab niliinunua kwa ham nilikua nataman tu kutumia tablet kizaazaa nikiwa mbele za watu kuipokea watu wananiangalia naona had aibu na vile nibebe handbag hata kwa safar zisizohitaj nibebe nikaona mzigo huu
Ungekuwa unatumia earphones kupokelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom