Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nashindwa kuelewa sababu ya kuwepo kwa Uganda Forums hapa JF, kwangu mimi ni bora hata kungekuwa na Rwanda Forums au hata Burundi kuliko Uganda kama swala ni uwingi wa Habari wa nchi husika, ni mara chache sana naona habari ktk Uganda hapa lkn Unyarwanda karibia kila siku, hivyo ningependa kujua mantiki ya kuweka Uganda forums!