Ni nini maana ya neno "Shikamoo"

Isa The Girl

Member
Joined
Jul 12, 2022
Posts
10
Reaction score
20
Nikiwa mtoto nilikua nikisema shikamoo kwa upesi sana lakini kadri navyozidi komaa kiakili napata ugumu wakulisema pale napokutana na watu walionizidi umri. "Shikamoo" ni neno la kiswahili sanifu? Ama lilikopwa kutoka lugha nyingine. Je lina maana gani.

Naombeni nifahamishwe kuhusu neno hilo na maana yake katika tamaduni yetu.
 
shikamoo huko pwani na tafsiri zao husema ni ''nipo chini ya miguu yako''
na marhaba ni kukubaliana na msalimiaji yani ''barabara/balabala''

wenye kiswahili sanifu mtaelewa... na tulio sikia minakasha ya kuchagiza mambo pia ndio hivyo...
 
maana yake ni kwamba unatoa salamu kwa mkubwa wako, Yani kuonyesha heshima kwa mtu aliye kuzidi umri.
 
Uko chini ya miguu ya mtu unatafuta nini au unachungulia nini ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…