Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,209
Umezingatia jinsi i.e mwanaume na mwanamke au?Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anavyoona.
Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi iliwemo uvumilivu,kuchukuliana katika mambo yote yanayo husu maisha kwa ujumla.
MSINGI HASA WA MAPENZI
1.UVUMILIVU
2.HEKIMA
3.BUSARA
4.UPENDO
5.UWAZI
6.HESHIMA
1-Uvumilivu katika mapenzi ni suala la msingi sana kwani kama nilivyotangulia kusema kuwa mapenzi ni kama safari ambayo ina mambo mengi ikiwemo mateso na mabadiko mbali mbali. kwa hiyo bila uvumilivu ni kazi bure.
2-Hekima ni hali ya kunyenyekea. ili mapenzi yaweze kuwa mapenzi lazima kuwe na unyenyekevu wa kutosha.
3 Busara ni hali ya kutengeneza uelewano na kuondoa tofauti eitha ya ki maneno au matendo.
4 Upendo ni hali ya kutengenza imani imara na sawia baina yenu wawili.
5 Uwazi ni hali ya kusomana na kufamiana ki myoyo kimwili na kifikra baina ya watu hawa wawili.
6 Heshima nayo pia ni njia kuu ya kuengeneza maelewano sawiya.
Zote mbili nimezungumziaUmezingatia jinsi i.e mwanaume na mwanamke au?
Kwani yenyewe yaliishaga?Wewe ukiwa na miaka mitano tangu kuzaliwa kuna wengine walikuwa na miaka zaidi ya ishirini tangu wazaliwe na walizungumzia mapenzi.Kuyakataa leo yasizungumzwe ni sawa na kutaka maisha ya binadamu yaishe leo hiihii.Hakuna urithishaji wala muendelezo.Hivi bado mada hizi zipogo
Doh
Je,unataka kumaanisha kuna mapenzi kati ya mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke?Zote mbili nimezungumzia
Unazingua kaka ya mwana mke na mwana umeJe,unataka kumaanisha kuna mapenzi kati ya mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke?
Hakuna swali la kijinga duniani.Jibu ili uzi uwe bora zaidi.😂Unazingua kaka ya mwana mke na mwana ume
🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣Hakuna swali la kijinga duniani.Jibu ili uzi uwe bora zaidi.😂
KabisaMapenzi ni fumbo, ni fursa kwa wadangaji na wachumia tumbo...
Msipende mtu kwa mkumbo, ukatoa posa kisa umedata tu na lile umbo...
Yapo ndio,Je,unataka kumaanisha kuna mapenzi kati ya mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke?
Kabisa nyimbo zina ujumbe mzuri sana yaan saanaUzi wako umenifanya nikumbuke wimbo wa AliKiba Single Boy, baadae tena nikaukumbuka wimbo wake wa Mahaba, sasa hivi nimeukumbuka Single Again ya Konde Boy,
Sijui hata kwanini [emoji3]