Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,187
- 4,393
Mkuu worry not tupo hapa kujuzanaKwa mara nyingine tena ni mimi na mambo ya Ajira portal msinichoke.
Wakuu ivi certified true copy ukiachana na kiwe na muhuri wa wakili, je inaweza kuwa hata black and white au ni lazima iwe colored.
Ni mimi kijana wenu nawasilisha
Tuwavumilie jamanWakuu, mm wakati najaza taarifa zangu za ajira Portal, nilijaza mwnyw kwa zaid ya 90% n vitu vichache sana niliuliza kwa watu.
Sasa cjui n kwamba watu hawataki kushughulisha vichwa vyao au n vp
Swano?Vijana wa siku hizi mna matatizo sana
Kikubwa ushapata jibu lako jitahidi usijibu comment ambazo ziko negative na wewe, hapa jamii forum tuko watu wa kila aina😀😀Mimi nishajazaga kitambo mkuu, Sema shida nilikuwa nataka kuhakiki kama nipo sahihi ama la, maana
Kama wewe ni msomi ungejibu kisomi angalau basi kaka, usitangulize hisia zako mbele bila utashi, ni kweli hili swali lina uhusiano wowote na degree, like serious!
Google sio trusted source of information, kama kweli wewe ni msomi unafahamu hilo, na mbona hili swala ni la kijamii zaidi sio la kisomi ndio mana nimekuja kwenye jamii mnipe maelekezo, tatizo liko wapi apoSiku nyingine ujifunze kwa kusoma Mkuu sio kuuliza maswali ambayo majibu yapo wazi kabisa. Kama uliweza kuuliza hapa jukwaani ulishindwa vipi kutafuta google. Kwani Unit za computer na communication skills mwaka wa kwanza ulizisoma ili nini?
🤣🤣🤣🤣Vijana wa siku hizi mna matatizo sana
VIjana siku hizi tumekuwa wavivu sana wa kufikiri.Wakuu, mm wakati najaza taarifa zangu za ajira Portal, nilijaza mwnyw kwa zaid ya 90% n vitu vichache sana niliuliza kwa watu.
Sasa cjui n kwamba watu hawataki kushughulisha vichwa vyao au n vp
endelea kuuliza usichofahamu ndiyo utaelimika, usiendekeze wajuaji humu kwenye mtandao.Tatizo ni kuuliza nisichokifahamu ama tatizo langu nini apo mkuu, kitu sifahamu nataka nifahamu shida ipo wapi kiongozi
Nimesikitika hata mie kwenye hili asee, kama mtu wa degree anashindwana na jambo hili, vipi uelewa wa mtoto wa darasa
Sawa mkuu, ila Nina swali kwako ivi wewe unaamini degree inaweza kukufanya ufahamu kila kitu, wewe huwezi kuhitajia maarifa kwa darasa la saba? pia unaandika kama mtoto wa darasa la pili, baada ya "mimi" unasema mie, ni "aisee" na sio asee, ushauri wangu kwako hakuna mkamilifu mala kibao lectures ana PHD lakini akifika darasani mambo mengi pia ya kijamii hafahamu anaomba kufahamu kutoka kwa wanafunzi wake, sasa wewe sikuelewi point yako ni nini, unatumia hisia badala ya kutumia akili yako. Shame on youNimesikitika hata mie kwenye hili asee, kama mtu wa degree anashindwana na jambo hili, vipi uelewa wa mtoto wa darasa la 7? Means hili swali angeulizwa na mdogo wake wa la 7 asingeweza kumpa jibu.
Afu humo humo anachanga "R na L"..so sad
Sasa mkuu si ndio anajifunza kwa kuuliza hapa, ndio kahitimu anajifunza hivyo au kuna only one way ya kujifunza?Inasikitisha sana, kuna maswali hadi mtu unajiuliza mbona enzi zangu sikuwahi uliza maswali kama haya.
Vijana wengi wavivu sana kujifunza, wengi wakishahitimu hawajifunzi sana
Ange google ingetosha kupata majibu. Alafu graduate unaulizaje kama cheti uweke coloured au black and white while portal imeeleza kila kitu?.Sasa mkuu si ndio anajifunza kwa kuuliza hapa, ndio kahitimu anajifunza hivyo au kuna only one way ya kujifunza?
Huyu atakua ni zao la ELIMU BUREEEImagine a graduate coming up with such a kindergarten question!
🎓 Graduate wa developed countries hawezi kuuliza swali Kama HILI....Sasa mkuu si ndio anajifunza kwa kuuliza hapa, ndio kahitimu anajifunza hivyo au kuna only one way ya kujifunza?
Mdogo wangu ili uendelee uliza tu ipo siku utapata majibu watu wengi wenye dharau hata ukikutana nao ni wale wa kujikweza na kujifanya wanajua kila kitu wakati hamna kitu wanajua unabishana na mtu ana mitungi ya gesi ndani ila yupo busy kumtukana mwingine...Google sio trusted source of information, kama kweli wewe ni msomi unafahamu hilo, na mbona hili swala ni la kijamii zaidi sio la kisomi ndio mana nimekuja kwenye jamii mnipe maelekezo, tatizo liko wapi apo
Hakuna mahali portal wameeleza maana ya certified true copy kama ni coloured au ni black and white, swali langu lilikuwa hapo kwenye coloured ama ni black and white,Ange google ingetosha kupata majibu. Alafu graduate unaulizaje kama cheti uweke coloured au black and white while portal imeeleza kila kitu?.
Kumuona yuko sawa kwenye hayo aliyouliza ni tatizo. Angetumia common sense tu ingetosha kumpa majibu. Hayo sio maswali yakuulizwa na graduate.
Jiulize, hivi Maisha yake yote ya elimh hajawahi kupeleka nakala za vyeti vyake popote? Chuo aliomba vipi? Au aliombewa ambapo ni tatizo nalo. Hajawahi kufanya field kabisa?, huko field alijifunza nini kama alifanya juu ya namna za kuomba ajira.
Graduate kazingua sana