ni nini kinachokufanya uachane na gf wako?

kundii

Member
Jan 6, 2013
13
7
Habari za asubuhi wanajamvi.natumai weekend ilienda
vizuri na leo tunawajibika kama kawaida.
Kwenye pitapita zangu weekend hii nkakutana na hili swali kutoka kwa msichana m1 rafiki yangu.hivi ni nini/tabia gani ambazo zitakufanya umwache/ufikirie kumwacha wife/gf wako?
 
Naweza kujibu tabia inayofanya niachane na boyfriend wangu?
au ni for girlfriend only....!!!
 
kama gf znaweza zkawepo ila kwa wife hamna cs mkeo sio mchumba & all i knw bout ths ni kwamba ni bora ukavunja uchumba kuliko ndoa, so gf anaachka kama kuna tabia knzan au mambo mengne meng
 
If she is not a wife material i.e Kama hujanielewa angalia tabia za walioolewa! Asipokuwa nazo then ajue tunacheza tu ...
 
Mmmh.... Mie hapa nimeachika jana tuu...

Ameniambia tangu ameanza mahusiano hajawahi na hatarajii kuwa serious ..

Ananiona niko serious wakati yeye hayuko serious, hivyo bora aniache mapema maana hataki maisha ya kugandana... Lol...!!
 
Wanaume tuna mambo mengi sana kichwani.. Na kweli unaweza kutana na mtu anakuganda hadi anakera...

Mtu saa 4 asubuh upo kwenye mishe umeshabananishwa sana anakupigia simu anaanza I love you zake wakati mtu mzima umebanwa mbaya..

Wanawake muwe na pozi jamani na hata subira,, tunajua mnatupenda sana lakini mtupe muda wa kufanya maisha maana tukiwa hatuna kitu mnatutosa na tukianza kuzisaka tupo busy mnatuganda sasa sijui mnataka nini?

Japokuwa nimetetea wanaume lakini na kina kaka jamani tusitongoze msichana aliye serious kama nasi hatupo serious maana tunawatesa wenzetu
 
Hapo umenena ndugu..!!
 
Mmmh.... Mie hapa nimeachika jana tuu...

Ameniambia tangu ameanza mahusiano hajawahi na hatarajii kuwa serious ..

Ananiona niko serious wakati yeye hayuko serious, hivyo bora aniache mapema maana hataki maisha ya kugandana... Lol...!!
Poleeeeeeeeeee.
 
  1. pole Neylu, utapata mwingine mzuri maradufu
  2. gf namuacha asiponipa 0712 lololol
  3. seriously - sipendelei ulevi/sigara/golddigger
 
Last edited by a moderator:
yaani akifanya mambo haya hakika namuacha saa hiyo hiyo;
1. akitumia kitu chochote cha MAREHEMU kujiremba iwe kucha, nywele n.k
2. akitembea njiani kwa kuvaibretisha makalio kama KIA la KoNDOO!!!
3. akiwa anapenda sana KUCHONGA NGENGA kama kama makalio YANAYOHARA!!!!
4. sipendi kabisa wadada wanaovuta SIGARA, KUNYWA POMBE utadhani walizaliwa UBUNGO kiwanda cha KIBUKU...!!!
 
  • Thanks
Reactions: LD

Wanaume mnavyokunywa hamjionagie? Mnataka tuwapende hivyo hivyo na Maulabu yenu...lakini sisi ukionja tu unaambiwa unakunywa. Kuwe fair bwana na ninyi. Acheni mipombe yenu hiyo.................
 
mama sema sababu za kwako nawe usikike...!!!!

Wanaume mnavyokunywa hamjionagie? Mnataka tuwapende hivyo hivyo na Maulabu yenu...lakini sisi ukionja tu unaambiwa unakunywa. Kuwe fair bwana na ninyi. Acheni mipombe yenu hiyo.................
 
Habari za asubuhi wanajamvi.natumai weekend ilienda
vizuri na leo tunawajibika kama kawaida.
Kwenye pitapita zangu weekend hii nkakutana na hili swali kutoka kwa msichana m1 rafiki yangu.hivi ni nini/tabia gani ambazo zitakufanya umwache/ufikirie kumwacha wife/gf wako?

mada nimeipenda kuhusu suala la pombe kumuacha gf, mtazamo wangu basi wote bf na gf waache pombe,utakuta mwanaume anakunywa pombe,bt hataki mwanamke anywe pombe,hii ni hatari sana,najua wanawake wengi wanakunywa pombe,binafsi sipendi mwanamke anaekunywa pombe,najua huwa inakimbilia sehemu fulani ndo maana wanaume makini hawapendi.....halafu ntakuwa nakosa amani nae,kunywa pombe ni subjective,so mtazamo wangu binafsi sipendi....hapo ntamuacha tuuu,labda abadilike muda huo huo.
 
Mmmh.... Mie hapa nimeachika jana tuu...

Ameniambia tangu ameanza mahusiano hajawahi na hatarajii kuwa serious ..

Ananiona niko serious wakati yeye hayuko serious, hivyo bora aniache mapema maana hataki maisha ya kugandana... Lol...!!

lol! duh huyo noma ila bora kakuacha mapema kabla hali haijazidi kua mbaya
 
Sipendi wadada waongo, mie si nikawa nampigia gf akaniambia niko nyumbani kwangu, mama kaja kunitembelea, tena amekuja na dogo wangu tupo karibu basi, si akajua siwezi kwenda mama yake akiwepo! nikafanya usanii nikenda moja kwa moja nikafungua mlango huku shikamoo ikiwa mdomoni' shikamo mama' na alivyokuwa mjinga si aliacha mlango wazi, looh si nikakuta ananyonyesha mtoto mkubwa. biashara ikaishia hapo nikafunga mlango nikaondoka.
 
Back
Top Bottom