Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,848
lol! duh huyo noma ila bora kakuacha mapema kabla hali haijazidi kua mbaya
Kweli kabisaaa..!
lol! duh huyo noma ila bora kakuacha mapema kabla hali haijazidi kua mbaya
Sipendi wadada waongo, mie si nikawa nampigia gf akaniambia niko nyumbani kwangu, mama kaja kunitembelea, tena amekuja na dogo wangu tupo karibu basi, si akajua siwezi kwenda mama yake akiwepo! nikafanya usanii nikenda moja kwa moja nikafungua mlango huku shikamoo ikiwa mdomoni' shikamo mama' na alivyokuwa mjinga si aliacha mlango wazi, looh si nikakuta ananyonyesha mtoto mkubwa. biashara ikaishia hapo nikafunga mlango nikaondoka.
Wizi .stealing for living ,mwanaume anaeiba lsimtaki hata kidogo .Habari za asubuhi wanajamvi.natumai weekend ilienda
vizuri na leo tunawajibika kama kawaida.
Kwenye pitapita zangu weekend hii nkakutana na hili swali kutoka kwa msichana m1 rafiki yangu.hivi ni nini/tabia gani ambazo zitakufanya umwache/ufikirie kumwacha wife/gf wako?
Amenena? Hivi wasichana ambao hawako serious wanapatikana wapi?Hapo umenena ndugu..!!
Naweza kujibu tabia inayofanya niachane na boyfriend wangu?
au ni for girlfriend only....!!!
Amenena? Hivi wasichana ambao hawako serious wanapatikana wapi?
Hebu nipe sabab zinazoweza kukufanya ukaachana na boyfrend wako bidada, mi sina sabab ya kuachana na mke wng ila galfriend naacha tu haniumiz kichwa! Nikijiskia kupata mashine mpya namwaga ya zaman, ila Mke ni kitu ingne siachi ng'oo.
mwambie mwaya,asilete mishauo hapa.kwa taarifa yako "gelofriend anauma kuliko mke"!!!!
kwa kuongezea mwanaume muongo,bahili na anaenichunga yaan kila wakati simu uko wapi!!! huyo nae hana nafasi kbs kwangu.Wizi .stealing for living ,mwanaume anaeiba lsimtaki hata kidogo .
kwa kuongezea mwanaume muongo,bahili na anaenichunga yaan kila wakati simu uko wapi!!! huyo nae hana nafasi kbs kwangu.
yaani akifanya mambo haya hakika namuacha saa hiyo hiyo;
1. akitumia kitu chochote cha MAREHEMU kujiremba iwe kucha, nywele n.k
2. akitembea njiani kwa kuvaibretisha makalio kama KIA la KoNDOO!!!
3. akiwa anapenda sana KUCHONGA NGENGA kama kama makalio YANAYOHARA!!!!
4. sipendi kabisa wadada wanaovuta SIGARA, KUNYWA POMBE utadhani walizaliwa UBUNGO kiwanda cha KIBUKU...!!!
Mmmh.... Mie hapa nimeachika jana tuu...
Ameniambia tangu ameanza mahusiano hajawahi na hatarajii kuwa serious ..
Ananiona niko serious wakati yeye hayuko serious, hivyo bora aniache mapema maana hataki maisha ya kugandana... Lol...!!
Sipendi wadada waongo, mie si nikawa nampigia gf akaniambia niko nyumbani kwangu, mama kaja kunitembelea, tena amekuja na dogo wangu tupo karibu basi, si akajua siwezi kwenda mama yake akiwepo! nikafanya usanii nikenda moja kwa moja nikafungua mlango huku shikamoo ikiwa mdomoni' shikamo mama' na alivyokuwa mjinga si aliacha mlango wazi, looh si nikakuta ananyonyesha mtoto mkubwa. biashara ikaishia hapo nikafunga mlango nikaondoka.
Point ya msingi sana.... kama mtu hayupo serious ya nini kugandana kama kupe?????
Hata mie nilimshukuru sana kwa kunieleza ukweli mapeeeema..! Nikala zangu kona taratiiiiiiibu..!