Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,779
- 13,702
Enzi hizo tunazama Waptrick kupakua masongi
mpaka leo ipo pale pale Seaboys mkuuKipindi hicho kulikuwa na internet cafe flani magomeni mapipa kituoni ktk ghorofa la sea boys.
Huku phonerotica kwa wazee wa pilauEnzi hizo tunazama Waptrick kupakua masongi
Yah mkuu darchat ndiyo marafiki.comHivi marafiki.com ndio darchat.com huo marafiki kiukweli niliutumia na ukanipa faida!.
Lakini hadi leo Marafiki ipo hewani bado.
Huo darhotwire ndio ulikuwa lazima utumie laini ya voda kuchat!?
Long time kweli!!..
Yah mkuu nilichat sana humu 2008-2011 enzi hizo kuna chatrooms maarufu kama zanzibaraha, tangaraha kuna watu maarufu kama meja jr, kaff kashmtandao uliokuwa maarufu kwa charting Dar, Znz na tanga ni mig33 hii kitu weka mbali na watoto kabisa. kuanzia wachumba wa kidosi,mpaka watoto wakizanzibar full chart.
Umenichekesha nimekumbuka mtu kakaa comp ole wewe hapa unamtumia email unamwambia check nimekutumia email na zile card e-cards zinawakawaka unafurahi.Duh umenikumbusha mambo hayo enzi zileeee, nilikuwa naishi yombo vituka basi kuna jamaa alirudi toka US na komputer za kuokota akafungua internet cafee tukawa tunaenda kuzama kwa kulipia 500 kwa nusu saa, basi vile vi bling bling vya darhotwire, chat vinakumalizia muda kwa kushangaa, ukifungua email unasoma mpaka junk mail, hahaha, kweli mambo yamebadilika sana
Mig33 ndio kiboko ya charting zote miaka ya 2000Yah mkuu nilichat sana humu 2008-2011 enzi hizo kuna chatrooms maarufu kama zanzibaraha, tangaraha kuna watu maarufu kama meja jr, kaff kash
Pia kulikuwa na nimbuzz na qeep messenger
wahenga ndo tunaijua hii mkuu.Duuuh sijawahi kuisikia
Haikuwa na mpinzani..Mig33 ndio kiboko ya charting zote miaka ya 2000
ilikuwa 2008-2009 hiyoDuuuh sijawahi kuisikia
The Grid huo niliutumia [emoji2] lakini sikuwahi faidika nao!.. Nikapotezea ila marafiki.com mzuriYah mkuu darchat ndiyo marafiki.com
Hapana darhotwire ilikuwa ni mtandao wa habari mbalimbali yani za serious na za mastar.
Pia ulikuwa na sehemu ya kutafuta marafiki unaweka post kama ilivyokuwa kwenye magazeti vile.
Uliokuwa unakulazimu kutumia vodacom ni application ya thegrid. Ilikuwa inakubari kwenye nokia na blackberry nakumbuka, watu full kutongozana na kulana huko.
Mimi kilichonipa faida ni mig33, nilipata marafiki wengi ambao walikuja kuwa marafiki wangu wa faida in really life.
Siku hizi whatsapp facebook insta zimeua mitandao ya kuchat mingThe Grid huo niliutumia [emoji2] lakini sikuwahi faidika nao!.. Nikapotezea ila marafiki.com mzuri