MPHINGU
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 518
- 613
Wakuu naomba msada wenu sababu kuna jamaa hapa mtaani ana tabia ya kutuchungulia wakati tukiwa tunafanya mapenzi na mke wangu, kwa hiyo niya yangu kubwa ni kumvizia na kumkamata ili nimpeleke kwenye vyombo vya sheria.
Wakuu nicho taka kujua, je atakapo baina kweli kafanya kosa hukumu yake nini?.
Mwisho naomba mnijulishe mtu a kipato kana na kosa la tendo la DUNGADUNGU kisheria adabu yake ni nini?
Wakuu nicho taka kujua, je atakapo baina kweli kafanya kosa hukumu yake nini?.
Mwisho naomba mnijulishe mtu a kipato kana na kosa la tendo la DUNGADUNGU kisheria adabu yake ni nini?