Ni nini HII?

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,775
Reaction score
9,202
Jamani hii ni aibu.
Licha ya kuwa tukio hili lilitokea siku nyingi, lakini naamini kabisa ni miongoni mwa mambo yaliyosababisha kuporomoka kwa muziki wa BONGO FLEVA.
huyu aliye mtupu ndio MFALME WA RHYME, je huyo mtu wa kawaida atafanya nini kwenye kadamnasi iwapo mfalme wake anavua nguo hadharani?
 
Eti mfalme.... kweli bongo fleva ni mzika wa MAJUHA
 
Eti mfalme.... kweli bongo fleva ni mzika wa MAJUHA

Kazi kweli kweli.Hii kweli ni Bangi flava si ndiyo. Na kwa rasta hiyo ndiyo chakula. Je unakumbuka wimbo maarufu sana wa Bob Marley Legalize marijuana???????
 
nimegundua kuna wengi wageni kwenye internet....hio picha ni ya long time na ishakuja jf long tiiiiiiiiime kitambo.....sasa wewe waileta leo hi??

....mods pls futeni idiotic thread kama hizi...
 
Jah people smokes weed...when they dont ..they can not perform... Huo ni msemo wa rafiki mmoja toka jamaica anyeamini bila kuvuta bangi rasta man can not perform well...
 
Dah! It seemz msela aliona kitu flan mbele yake kiasi cha kutamani kukurukia kama Jogoo vle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…