Umofia kwenu,
Hizi iPhone zinazoimbwa na kusujudikiwa kwanzia huku mtaani mpaka mitandaoni zina uspesho gani hasa wa kipekee? Mwezi wa tatu sasa huu natumia iPhone 7 sijaona upekee wowote, sana sana naimisi Samsung yangu ambayo nilikuwa naitumia hapo kabla.
Labda wakuu, uspecial wa iPhone ni nini haswa?