Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

Nawashauri jamani wanaume na wanaake tuombee mungu atupe wake/waume wema, atuondolee tamaa za mwili, atupe hekima ya kipekee kujua nani anakupenda na asiye. waleeni wake na waume zenu kidini zaidi. Mambo magumu, huna cha kumfanyia mtu uliyekutana ne ukubwani. siyo mtoto uliyemzaa unajua tabia zake tangu utoto.

Tunamshirikisha mungu kwa sababu hakuna zaidi. Kila mtu ana shetani lake, mambo yake ya kuzaliwa, kurithi sasa umtoe huko kumleta kwenye mstari ulionyooka ni ngumu ila kwa nguvu za Mungu yote yawezekana.
 
Pole sana superman, tatizo liko kwako unatakiwa upate KIKOMBE upate kupona

Kumfukuza mwanamke, si suluhisho, kwani kama hautafanya utafiti na kugundua tatizo yaaani utawafukuza mwisho utajifukuza nawe pia

Mwanamke mpe vyooote, kuanzia gari mpaka utajiri wako wote lakini vyote ni bure, jamaa watakukanyagia mpaka pasi

Hili ni tatizo kwa wanaume wengi, kwani wengi wetu hatuna elimu ya kufanya mapenzi, tulivyokuwa form two tulikuwa tukidanganyana kuwa wanawake wanapenda shaft kubwa, tukaangaika kuchacha madodoki na mihogo ili tuwe na shaft kubwa na kuwatosheleza marafiki zetu wa kike, mara oooohh, mara wengine mawazo yao ni kuwa ukiwa na shaft fupi huwezi kumtosheleza mwanamke unatakiwa uwe na shaft ndefu ukiipenyeza ikaribie nyumba ya uzazi ili apate raha anayohitaji. Tulutoka sekondari tukiwa kila mtu na lake.

Mwanamke anahitaji ufanisi wa tendo la ndoa, si shaft nene, fupi, au ndefu wala vitu vya kifahari.

Mwanamke anahitaji maandalizi, chukua mfano wa daktari anayejiandaa kumfanyia mgonjwa upasuaji, hakurupuki kuchukua mkasi na kuanza kufanya upasuaji, kwanza lazima amkague mgonjwa wake, ahakikishe dawa ya usingizi imekolea sawa sawa kisha ndio upasuaji utaendelea. Vivyo vivyo kwa mwanake.

Mwanamke anahitaji muda wa maandalizi kabla ya tendo, si una mchojoa nguo kisha unapaka mate na kuzama ndani, hapo utamuumiiza na mwisho wa siku lazima usaidiwe na wajuvi wa mambo. kuna sehemu si za kukimbilia kupapasa, mfano ukishamuweka mamaa kitandani unakimbilia kutomasa kinembe, kwa taarifa yako hapa unampa maumivu, na kumfanya asifurahie tendo la ndoa, anza na nyayo, ukifika hapo kati ruka endelea na tumbo mpaka utosi, kisha rudi kati, baada ya hapo unaweza kuanza kuchimba madini.

Superman tuonane kwenye pm kwa ushauri zaidi, huyo mwanamama usimuache, dawa ipo kaka
 
Inawezakana kabisa kuna tatizo la kutoridhika kwa mwanamke hasa katika tendo la ndoa!! haya mambo ya kibaolojia yanaleta tabu sana katika ndoa za sasa. Zamani wazee walikua hawana wanalojua zaidi ya kudumu katika ndoa zao, siku hizi luninga na ,mitandao imepelekea watu kujua mambo mengi ya ajabu, huenda hiyo pia inamsumbua huyo mwanamke. MUNGU ATUSAIDIE SANA WENYE MATATIZO KAMA HAYA.
 

Shelter.
 

Mgumu, nimekusoma na maoni yote. Ila si mimi.

Pamoja na ushauri wote, niko aware kuwa karibia yote uliyoyasema yamekuwa yakifanyika tena kwa ufanisi wa juu kwa maelezo ya wahusika wote. Sasa labda Mkuu, kuna kichwa zaidi tuweze jua kulikoni?

Kama una specific question niulize na nitakutafutia majibu na kukuletea.
 

So far this is the strongest point.

I tend to agree.

Tuko pamoja Mkuu.
 
Msisitizo wangu uko pale pale... ufanisi wa tendo la ndoa

Kutokana na hali halisi ya sasa, mambo ni magumu, zamani mke alikuwa akiolewa akiwa BIKIRA hajapata kumjua mwanaume, ndoa hizo zilidumu kwani huyu mwana mama hana kumbu kumbu yoyote ya jinsi alivyopigwa shaft kwa ufanisi tofauti na wala hana akili ya kusema tukumbushie ya zamani yeye anamuona mumewe ndio mjuvi wa mambo, vivyo hivyo kwa wanaume wa zamani.

Siku hizi mambo tofauti, unaoa mke, tokea shule ya msingi paka anakuja kuolewa tayari kashapigwa shaft na wanaume zaidi ya mia, na kichwani kwake anakumbu kumbu tofauti ya wanaume waliomkuna (kumfikisha) vile vile kuna wanawake wengine wanapenda kufanyiwa mapenzi kwa fujo, na sio kupigwa shaft kistaarabu.

Changamoto tuliyonayo sisi wanaume ni ku 'format memmory' za wake zetu, ili waweza kusahau maujuzi ya watu wengine, na jambo hili litawezekana tu kama tutajituma kwa nguvu na uwezo wetu wote kuhakikisha tunawashinda kete hao jamaa walio kwisha kupita kabla yetu, la sivyo malalmiko hayataisha
 
Kimsingi mwanamke anapenda kupendwa na kuthaniniwa na kuheshimiwa. Ila kwa ishu ya hawa huyu hapa ilivyo ni kuwa wanawake wenye tabia hizi ni wale ambao ukifuatilia historia yao ni kuwa "walilazimika kuingia kwenye ndoa hiyo bila kufikia maamuzi ya kweli" mazingira yao ya mahusiano yalijengwa katika matamanio sio upendo wa dhati" ni bahati mbaya sana kuwa mume wa huyu dada alilazimisha mapenzi na kurukia kuoa akidhani kuwa binti huyu naye anampenda kwa dhati. Jana nilichangia mada moja humu jf kuwa " Ni bahati na ni nadra kumpata mke mwenye upendo wa dhati" kwa kuwa mara nyingi wanaume husukumwa na matamanio hivyo wakati mwingine kulazimisha kukubaliwa na mwanamke bila kujali kuwa mwanamke huyo naye amemtia moyoni. Ndoa nyingi ziko hivyo na ndiyo maana zimejaa usaliti wa hali ya juu maana upendo wa mmojawapo upo mwilini sio rohoni, ndiyo maana wanandoa wengi baada ya muda hujikuta wakifikiri kuwa walikosea katika uteuzi wa mwenza wake.

hivyo basi ni dhahiri kuwa mahangaiko yanayoendelea kwa huyo mwanandoa pamoja na ukweli kuwa lazima misingi yake ya kimadili hasa kwa upande wa malezi ni mabaya lakini huenda mume aliyenaye haikuwa chaguo lake ndiyo maana imekuwa rahisi kumvunjia heshima kwa kiasi hicho, lakini kwa wale waliojengwa kwenye misingi mizuri ya kimaadili na wenyewe kujenga tabia za kuheshimiana na kuaminiana toka mapema inaweza kuwa ni vigumu kuvunjiana heshima kwa kiasi hicho.
 
Bado mpaka leo sifahamu Mwanamke Anahitaji nini hasa.
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anatoa doz tatu kwa siku lakin mwisho wa siku alikimbiwa na mke wake.
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anatoa doz tatu kwa siku lakin mwisho wa siku alikimbiwa na mke wake.

lol too much is harmful.

I think it is about quality and not quantity.

Au ilikuwaje?
 
Bado mpaka leo sifahamu Mwanamke Anahitaji nini hasa.

Kuna wahenga wa kizungu husema, kwa wanaume; " Never try to understand a woman, just love her"

Mwanamke hata yy mwenyewe hajielewi ila anajipenda sasa ww mtu wa pembeni utamwelewaje?

Na kwa wanawake; " Never try to love a man, just understand him"

Hutakiwi kumpenda mwanaume, elewa anataka nini and play it along utaona maisha hayana mgogoro kabisa. Akiaga anakikao cha kazini saa saba usiku jumamosi elewa, akisafiri mwekee na salama kwa afya yenu wote. Mwelewe, mwelewe, mwelewe
 

Sounds interesting
 
Kongosho sante mkuu nimeiweka ktk ubongo wa kna.ntajtahd kuelewa ila dah saa sta ucku anatoka tn wkend au anarud saa 7 ucku tn wkend+then unaambiwa nlikuwa kkaz zaid,inauma hyo ila 2taelewa 2.
thanks
 
Kongosho sante mkuu nimeiweka ktk ubongo wa kna.ntajtahd kuelewa ila dah saa sta ucku anatoka tn wkend au anarud saa 7 ucku tn wkend+then unaambiwa nlikuwa kkaz zaid,inauma hyo ila 2taelewa 2.
thanks

Usipofanya hivyo utapata Phd bila kuingia darasani. Hawa watu wanaweza kukutoa upara sasa utasukaje?
Just understand them, mshipa wa wivu ng'oa kabisa.
 
achen kuumiza vichwa kutuelewa mböna rahisi sana nyie tu ndio wagumu chezeni segere ngoma ilale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…