Ni nini faida, changamoto na hasara za kazi za nje ya nchi, hasa Mashariki ya Kati?

Kweli nimeamini penye miti hkn wa kwezi!!! wewe si mjilipuaji!! ila una tu iga iga tu!!!! uko nyorornyoro sana!! inaonekana huko baba hapa kufai!!

tulitishwa ooh! Dar maisha magumu kaeni hapahapa kwa baba yenu! maweee! nani? Tata nyarusare au!!
Hahaa achana nao mkuu. Ni wazi kabisa wabongo wengi wetu ni watu ambao uthubutu uliishia kwa mababu zetu. Tumeathiliwa sana na mfumo wa elimu yetu. Wengi wetu hatuwezi kabisa kutoka nje ya box, waoga wa kufa mtu, wababaishaji. Tunaongea kwa hisia kila jambo na kulitetea kuaminisha ufupi wa akili zetu. Tunakwama sana!!!!
 
Wapendwa natafuta ufahamu, ujuzi na uzoefu kwenu, kama maelezo hapo juu.

Mazingira ya ajira katika nchi nyingi za kiafrika ni ngumu na si kwetu Tanzania pekee. Kumetokea vijana wengi wanatoka Tanzania kwenda kufanya kazi nje (Kazi za kawaida) na hasa bara la Asia.

Nimekua nawasiliana na baadhi wakiwa huko, kwa maelezo yao mishahara yao ni mizuri ambayo kwetu huku ni pesa nzuri tu sawa na mishahara ya wasomi wetu hapa nyumbani japo kazi hizo huko kwa wenzetu zinahitaji sana ujuzi na uzoefu kuliko shule.

Naomba kufahamishwa, ni nini basi faida, changamoto na hasara za ajira hizi?
Kama umeoa au tayari una mchumba,,jiandae kisaikolojia,,

,,,kuhatarisha mahusiano yako ya ndoa au mapenzi,,
 
Katika nchi rahisi kupata visa ni UAE then unabadili hiyo visiting or tourists visa into working visa bila kuexit the country

Pia nchi nyingine ni Qatar na Saudi Arabia

Pia Malaysia IPO njema sana kwa malipo and you can apply for permanent residents after living there for 5yrs

Maisha ni popote,MTU asikutishe ni ww tu kuwa na makaratasi kama Singapore ni free visa country for Tanzanian citizens but you must have 1000 dollar so as to let your ass in

Ulaya hapaingiliki kirahisi kwa namna yoyote maybe uwe na visa yako then ukifika maybe Italy au Germany unaclame asylum(jitahidi kuwa na story nzuri yenye ushawishi na evidences)

Wish you all the best
 
Katika nchi rahisi kupata visa ni UAE then unabadili hiyo visiting or tourists visa into working visa bila kuexit the country

Pia nchi nyingine ni Qatar na Saudi Arabia

Pia Malaysia IPO njema sana kwa malipo and you can apply for permanent residents after living there for 5yrs

Maisha ni popote,MTU asikutishe ni ww tu kuwa na makaratasi kama Singapore ni free visa country for Tanzanian citizens but you must have 1000 dollar so as to let your ass in

Ulaya hapaingiliki kirahisi kwa namna yoyote maybe uwe na visa yako then ukifika maybe Italy au Germany unaclame asylum(jitahidi kuw na story nzuri yenye ushawishi na evidences)

Wish you all the best
Tunaanzia huko huko mashariki ya kati au mbali ..ulaya baadae sanaa
 
Ni wangapi wako tayari na wamejitoa kimamilifu?
Mpambanaji wa kweli hasubirii ruhusa ya mtu, hakuna vijisababu sababu vya kindubwi.
Hebu tujuane walio tayari kulianzisha. Unaweza kuja PM
 
Back
Top Bottom