Ni nini chanzo cha GIZA kwenye universe.

Ni nini chanzo cha GIZA kwenye universe.

Kijiografia giza husababishwa na dunia kujizungusha kwenye muhimili wake(Earth's rotation in its axis) . Sasa kadri dunia inavyojizungusha ndivyo pande za dunia zinavyopata kimvuli cha pande nyingine . Kwa hiyo giza ni kimvuli cha pande moja ya dunia ..
Kwahiyo Unamaanisha nikijifungia chumbani muda wa mchana basi hilo giza limetokana na kivuli cha upande mmoja wa dunia?
 
kukosekana kwa mwanga ndo chanzo cha giza.. kwenye dunia yetu kuna upande wa jua ambao unakuwa na mwanga na upande ambao haupo kwenye jua huwa ni giza... apo tunategemea kudra za mbalamwezi sasa
 
ukifika hapo ndipo upeo wa ufahamu wa mwanadamu huishia - kuna siku najiuiza kipi kinafanya Dunia hii izunguke millions of years bila kusimama hata sekunde moja. Je ikitokea ikasimama sisi wanadamu tutafanyaje kuifanya izunguke tena?
Ipo njia ambayo bado haijajulikana lakini ipo.
Hata kutumia huge nuclear rockets.


Na mwanadamu hana ukomo wa ufahamu.
 
mgoja niwape kitu. Ivi mnajua kuna spirit zina nguvu kuliko shetani.sema shetani ana akili kuliko spirit zote.
turudi maswali kama haya labda umuulize malaikaa
 
Giza halisi ni kuzama kwa jua! Basi chanzo cha giza ni kuzama kwa jua
 
Back
Top Bottom