chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,289
- 25,680
Hata kuwepo au kutokuwepo kwa aliyebitengeneza ni nadharia tu.
Kikubwa hiyo nadharia iwe na mshiko japo iweze kuthibitisha inachoongelea.
Hakuna kitu kinatokea pasipo kutengenezwa/kuumbwa/created. Lazima awepo aliefanya hivyoo hiyoo sio nadharia ni uhalisia.
Gari lipo limetengezwa na alielitengeneza yupo and vice versa to darkness.
Ukitaka kujua gari limetengenezwajwe linafanyaje kazi lazima umuulize muusika. Usipo fanya hivyo utatengeneza nadharia zinaendana na mfumo wa gari right or wrong.