Kwa uelewa wangu wa mdogo ni kuwa.
Kuna nadharia (hypothesis): kuwa Giza ni nguvu (energy) kama ilivyomwanga, na inasafiri kwa kasi kuliko mwanga .
Na kwasababu ulimwengu (universe) unatanuka (expanding), hivyo basi giza huchukua nafasi ya ulimwengu uliotanuka.
Nadharia hii tunaitumia katika fizikia ya vitu vya angani, kueleza nadharia nyingine kuwa ulimwengu unaendelea kutanuka.
Sasa tukija kwenye swali lako la msingi ya kuwa nini chanzo cha giza katika ulimwengu?
Kwanza ni lazima tujue kuwa nadharia moja haitoshi kuelezea nadharia nyingine kwa usahihihi mojakwamoja kukumbuka M-theory (Hawking na Mlodinow, 2010),
Hivyo basi tunaweza kutaja moja kama ile nadharia ya oscillating model (Eisten 1930) kuwa nguvu za ulimwengu hufuqtata mzunguko usio na mwisho, na unaojitunza wenyewe (infinite, self-sustaining cycle).
Kwa hiyo tukichukulia mwanga kama nguvu, basi pasi shaka chazo cha giza inaonekana ni kile kile, kwa kuwa nguvu huzinguka katika hali tofauti.
(Naomba kuwasilisha.)