Kweli mkuu?? Hujielewi kabisaaaaa???Unakipaji then maana hata me sijielewi wewe je
Duh! Pole sanaKwakweli
ha ha ha napenda sana,halafu ukute mtu ananyenyekea mpaka unajikuta unatoa machozi...baadaye unamuuliza unataka nini..Wewe hupendi mkuu
Sio kunyenyekewa bali kudekezwa.Tatizo nyie mnapenda kunyenyekewa sana
Sio kunyenyekewa tu bali kudeka pia, na umpate anaejua kudekeza........Tatizo nyie mnapenda kunyenyekewa sana
Kuna siku naamka nina kisiraniii, ukinisalimia kosa usiponisalimia pia kosa.



Na mbaya zaidi awe haelewi kuwa wanawake huwa tuna mood swingsHii ikitokea unaeza muonea huruma mlengwa maana na yeye anakuwa hakuelewi
