Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Sitasahau siku aliponipa dedication ya wimbo wa end of the road and by that time siku ufahamu huo wimbo wala maana yake but nilifwatilia nikaujua ukwel,

Real wanawake sisi ni wabaya sana but always men are behind al the things.
Haaaaaa mwanamke kama biko
 
Uliyataka mwenyew... mpaka leo nahis homa na kila nikia lecture hall namuona sit ya mbele kabisa... wanawake wauaji kabisa
 
Back
Top Bottom