Ni nchi gani Duniani ambayo spika wa bunge na Jaji Mkuu huambatana na Rais kila mahali?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Tanzania kwa miaka kama saba hivi spika na Jaji Mkuu ni sehemu ya msafara wa Rais. Kila anapokuwa Rais lazima spika awepo pembeni na Jaji Mkuu. Utatu huu mtakatifu unawezaje kutekeleza dhana ya separation of power?

Ukimsikiliza Spika na Jaji Mkuu wakiwa wanaongea ni kama wapo sehemu ya serikali. Yaani wao wanaongea kama vile ndio wakuu wa Muhimili wa serikali. Wanajadili sana performance ya serikali kuliko Mahakama na Bunge. Hakuna Sehemu mbele ya Rais wanaoshauri bali wanapongeza.

Huu mfumo unatumiwa na nchi gani Duniani ya kidemokrasia au kidikteta? Je, kuna sheria inalazimishwa wakuu wa Mihimili kuambatana kila wakati? Wao wanafanya kazi zao za kibunge na mahakama wakati gani kama ratiba yao ipo subject kubadilika kuendana na ratiba ya president?

Wanapokuwepo kwenye mikutano na vikao vya mhe Rais huwa wanaongeza tija gani? Hawaoni kama wanamzuia Rais kuwakosoa kwa kuwaonea aibu? Uhuru wa Mihimili upo kweli nchini?
 
Tanzania kwa miaka kama saba hivi spika na Jaji Mkuu ni sehemu ya msafara wa Mhe. Rais . Kila anapokuwa Mhe. Rais lazima spika awepo pembeni na Jaji Mkuu. Utatu huu mtakatifu unawezaje kutekeleza dhana ya separation of power?

Ukimsikiliza Spika na Jaji Mkuu wakiwa wanaongea ni kama wapo sehemu ya serikali. Yaani wao wanaongea kama vile ndio wakuu wa Muhimili wa serikali. Wanajadili sana performance ya serikali kuliko Mahakama na Bunge. Hakuna Sehemu mbele ya Rais wanaoshauri bali wanapongeza.

Huu mfumo unatumiwa na nchi gani Duniani ya kidemokrasia au kidikteta? Je, kuna sheria inalazimishwa wakuu wa Mihimili kuambatana kila wakati? Wao wanafanya kazi zao za kibunge na mahakama wakati gani kama ratiba yao ipo subject kubadilika kuendana na ratiba ya president?

Wanapokuwepo kwenye mikutano na vikao vya mhe Rais huwa wanaongeza tija gani? Hawaoni kama wanamzuia Mh. Rais kuwakosoa kwa kuwaonea aibu? Uhuru wa Mihimili upo kweli nchini?
Ni Tanzania tu. Na pia ni Tanzania tu mtu ye yote anaweza kupewa jukumu rasmi la uongozi wa ofisi ya umma bila kujali elimu, uelewa, uzoefu na uadilifu wa mhusika. Ndiyo maana ukisikia mtu anatunukiwa Phd kwa ajili ya utafiti kwa nini Tanzania inabaki maskini ujue uko Tanzania! Utadhani wote tumelewa!
 
Hapa kwetu kuna maajabu sana. Kuna mambo yanashangaza mno.
 
Katika kitu system imekosea kwenye nchi hii ni kuruhusu chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu, haswa kukaa madarakani kwa shuruti. Matokeo yake ndio haya mihimili inashikana bila kuwa na kujitegemea maana kutokapokuwa na separation of power, muhimili unaotawala kwa shuruti utashindwa kutawala kwa hila.

Mara nyingi kukishakuwa na utatu mtakatifu wa hivi wa mihimili usio na tija kwa nchi bali watawala, machafuko a mapinduzi ya kijeshi ndio huwa suluhisho la mifumo ya kiutawala kuanza upya. Yaani inatakiwa factory reset ya mifumo ya kiutawala.
 
System ni CCM.
 
Na ndio maana kwa sasa makonda ni kimbilio la watu wenye shida mbalimbali hususani za kimahakama, viongozi wengi shauri ya umaskini wapo kupongeza tu badala ya kutimiza majukumu yao.
 
Hata mtoto wa chekechea anaweza kutambua kuw a Tanzania kuna mhimili mmoja tu (serikali)wengine wanakula Kodi zetuu bila Soni.yaani bunge na mahakama hakuna kabisaa tz.kwa hali ilivyo bora tupunguze gharama kwa kuwaondoa wabunge na mahakimu... hawana kaxi wanaweza kufanya mpaka ikubaliwe na sirikali.
 
System ni CCM.
Ilipaswa kuwa huru, lakini kutokana na kosa la kiufundi la rais ambaye mara nyingi ni mwenyekiti wa ccm, huchagua watu wanaoibeba ccm. Na haya yameshamiri baada ya ccm kupoteza ushawishi wa kisiasa kwa umma.
 
Tanzania kwa miaka kama saba hivi spika na Jaji Mkuu ni sehemu ya msafara wa Rais. Kila anapokuwa Rais lazima spika awepo pembeni na Jaji Mkuu. Utatu huu mtakatifu unawezaje kutekeleza dhana ya separation of power?

Ukimsikiliza Spika na Jaji Mkuu wakiwa wanaongea ni kama wapo sehemu ya serikali. Yaani wao wanaongea kama vile ndio wakuu wa Muhimili wa serikali. Wanajadili sana performance ya serikali kuliko Mahakama na Bunge. Hakuna Sehemu mbele ya Rais wanaoshauri bali wanapongeza.

Huu mfumo unatumiwa na nchi gani Duniani ya kidemokrasia au kidikteta? Je, kuna sheria inalazimishwa wakuu wa Mihimili kuambatana kila wakati? Wao wanafanya kazi zao za kibunge na mahakama wakati gani kama ratiba yao ipo subject kubadilika kuendana na ratiba ya president?

Wanapokuwepo kwenye mikutano na vikao vya mhe Rais huwa wanaongeza tija gani? Hawaoni kama wanamzuia Rais kuwakosoa kwa kuwaonea aibu? Uhuru wa Mihimili upo kweli nchini?
Kenya 🐒

ambapo speaker wa bunge la kitaifa kenya Mosses Masika Wetang'ula wa chama cha Ford Kenya na speaker wa bunge la seneti ndugu Amason Kingi wa chama cha Jahazi Asilia ni dam dam maeneo mengi sambamba na Rais William Samoe Kipchirichiri Ruto wa chama cha UDA..

Kwan kuna ubaya gani 😜
 
Tanzania kwa miaka kama saba hivi spika na Jaji Mkuu ni sehemu ya msafara wa Rais. Kila anapokuwa Rais lazima spika awepo pembeni na Jaji Mkuu. Utatu huu mtakatifu unawezaje kutekeleza dhana ya separation of power?

Ukimsikiliza Spika na Jaji Mkuu wakiwa wanaongea ni kama wapo sehemu ya serikali. Yaani wao wanaongea kama vile ndio wakuu wa Muhimili wa serikali. Wanajadili sana performance ya serikali kuliko Mahakama na Bunge. Hakuna Sehemu mbele ya Rais wanaoshauri bali wanapongeza.

Huu mfumo unatumiwa na nchi gani Duniani ya kidemokrasia au kidikteta? Je, kuna sheria inalazimishwa wakuu wa Mihimili kuambatana kila wakati? Wao wanafanya kazi zao za kibunge na mahakama wakati gani kama ratiba yao ipo subject kubadilika kuendana na ratiba ya president?

Wanapokuwepo kwenye mikutano na vikao vya mhe Rais huwa wanaongeza tija gani? Hawaoni kama wanamzuia Rais kuwakosoa kwa kuwaonea aibu? Uhuru wa Mihimili upo kweli nchini?
Kama una akili ya uchambuzi utagundua huambatana siku ya mahakama, uzinduzi wa bunge, kuapishwa Rais na sherehe kuu za kitaifa tu
 
Ilipaswa kuwa huru, lakini kutokana na kosa la kiufundi la rais ambaye mara nyingi ni mwenyekiti wa ccm, huchagua watu wanaoibeba ccm. Na haya yameshamiri baada ya ccm kupoteza ushawishi wa kisiasa kwa umma.
Kosa alifanya Nyerere, kuleta latiba ya chama kimoja ya mwaka 77 halafu kuunganisha ccm na kila kitu, kuanzia serikali, mahakama, bunge, vyombo vya dola (usalama, polisi, jeshi). Siku vyombo vya dola vikienda kinyume na ccm ndio utakuwa mwisho wao. Zaidi ya hapo wataendelea kutawala tu, mpaka ama wagombane wenyewe au dunia iishe.
 
Back
Top Bottom