Ni Nape Nnauye au Suleiman Methuu jimbo la Mtama 2015

Ni Nape Nnauye au Suleiman Methuu jimbo la Mtama 2015

kwetu mtama

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
160
Reaction score
25
Kumewepo na harakati za aina yake jimboni mtama mara baada ya mbunge wa jimbo ilo BENARD MEMBE kutangaza kutogombea tena;
MASOUD ALLY CHITENDE mbunge pekee kutawala jimbo ilo kwa kipindi cha miaka kumi na mitano Bila mafanikio....Tukamwamini MEMBE mwera kutoka RONDO kwa miaka kumi bila mabadiliko yoyote jimboni
Amekuja na bwana NAPE NNAUYE kumtangaza km mridhi wake ikiwa kijana SULEIMAN METHUU teyar kashajiwekea mazingira jimboni hapo na kupendwa na kila rika!!!
wote wameamua kununua viwanja na kujenga km makazi...jamani hii si danganya toto?
 
Eti "Team WAMA"? Please ! Hao si wanaume wanahusikaje hapo?CCM fanyeni siasa safi acheni kutukanana maana baada ya 2015 tunahitaji upinzani makini wenye sera sio matusi
 
Umemaanisha Suleiman Mathew Liongo,msakata ndinga wa zamani wa simba mwenye shule feki ya michezo kigamboni?
 
Ni kweli usimayo kuhusu jimbo la mtama. Linatia aibu sana ukifananisha na majimbo ya jirani kama Tandahimba, Newala na Mtwara vijijini. Jimbo la Mtama halina barabara, kila siku pikipiki zinagongana kwenye barabara finyu na zisizohudumiwa ila ukienda za majimbo ya Mtwara ziko safi. Majimbo ya Mtwara wana majengo mazuri ya shule, zahanati na barabara zao zinahudumiwa wakati wote.
Sasa sijui hao wanaopapurana kuwania jimbo hili wanakuja na jipya gani!!??

Kumewepo na harakati za aina yake jimboni mtama mara baada ya mbunge wa jimbo ilo BENARD MEMBE kutangaza kutogombea tena;
MASOUD ALLY CHITENDE mbunge pekee kutawala jimbo ilo kwa kipindi cha miaka kumi na mitano Bila mafanikio....Tukamwamini MEMBE mwera kutoka RONDO kwa miaka kumi bila mabadiliko yoyote jimboni
Amekuja na bwana NAPE NNAUYE kumtangaza km mridhi wake ikiwa kijana SULEIMAN METHUU teyar kashajiwekea mazingira jimboni hapo na kupendwa na kila rika!!!
wote wameamua kununua viwanja na kujenga km makazi...jamani hii si danganya toto?
 
Jimbo la mtama Nape ashakula mtama kama si mweleka , mbunge ajaye ni Salma Jk
 
Kumewepo na harakati za aina yake jimboni mtama mara baada ya mbunge wa jimbo ilo BENARD MEMBE kutangaza kutogombea tena;
MASOUD ALLY CHITENDE mbunge pekee kutawala jimbo ilo kwa kipindi cha miaka kumi na mitano Bila mafanikio....Tukamwamini MEMBE mwera kutoka RONDO kwa miaka kumi bila mabadiliko yoyote jimboni
Amekuja na bwana NAPE NNAUYE kumtangaza km mridhi wake ikiwa kijana SULEIMAN METHUU teyar kashajiwekea mazingira jimboni hapo na kupendwa na kila rika!!!
wote wameamua kununua viwanja na kujenga km makazi...jamani hii si danganya toto?

kwetu mtama has not made any friends yet.

Date of Birth

March 21, 1989 (25)
The last 2 visitor(s) to this page were:

This page has had 4 visits.

[h=5]Total Posts[/h]Total Posts4Posts Per Day4[h=5]Visitor Messages[/h]Total Messages0Most Recent MessageNever
  • Visitor Messages for kwetu mtama
  • Post a visitor message for kwetu mtama
[h=5]General Information[/h]Last ActivityToday 19:29Join Date

Dogo ana hatari sana,anaingia Jamvini bila kuwaamkia wazee,we dogo noma umeharuka lakini?
5th February 2015
 
Kumewepo kwa hali ya sitofahamu jimboni MTAMA baada ya waziri wa mambo ya ndani ndugu benard membe kutangaza kutogombea tena jimboni hapo.

Ni jambo la furaha kwetu maana hakuna halichofanya km mbunge,kitu ambacho wakazi wengi kimewashangazi alipoamua kumleta ndugu nape km mridhi wa jimbo ilo,wananchi HAWAMTAKI ni suleiman mesihuu ndio chaguo pekee kwa wakazi wa mtama ila wasiwasi umetanda JE jina la huyu jamaa anayependwa na kila rika atapitishwa km mgombea?

Tulikuwa na ndugu MASOUD ALLY CHITENDE aliyeongoza jimbo ilo kwa miaka 15 bila mafanikio na kuachiwa ndugu membe,ubinafs hasa ule wakutaka makao makuu ya wilaya ya mtama yawepo kijijini kwao RONDO ndio haweze kufuatilia suala ilo kitu ambacho kilizidi kuwakatisha tamaa wakazi wa eneo ilo.

tunamsii si jambo la busara hatuwache wenyewe tumpate kiongozi ambaye atakuwa na dira na jimbo letu ambalo wamevuna kwa muda wa miaka 10 na kutuiacha na miradi mingi bila kumaliza....mradi wa CHIUE mradi wa maji ulidumu miaka kumi bila kumalizika,kituo cha polisi,daraja la nachui....!!!
MTAMA KWANZA CHAMA CHAKO BAADAE!!!
 
Huyo Nape kwao kwa huyo babayake wa kufikia ni kijiji cha Makukwe kata ya Mahuta walaya ya Tandahimba kwa hiyo kuzuri kugombea ni jimbo la Tandahimba ambalo liko wazi kwani mbunge wake wa sasa Mh. Juma Njwayo ameisha kimbilia CDM.

Nape kama kweli anataka ubunge mahala sahihi kwa yeye kugombea ni Tandahimba pale atakutana ka KHATANI wa UKAWA akiwamudu hao ubunge amepata, lakini sijui UBUNGO, MTAMA kote huko anajisumbua hana mvuto sababu ya domo kaya lake
 
Umehoji wana mtama wangapi?

Wanafika 100?
Wanaume wangapi?
Wana wake wangapi?

Ulutumia njia gani kupata watu wakuwahoji?

Kati ya hao wangapi walisema huo msimamo?

Q
 
Kumewepo kwa hali ya sitofahamu jimboni MTAMA baada ya waziri wa mambo ya ndani ndugu benard membe kutangaza kutogombea tena jimboni hapo.

Hapo kwenye red sijakupata.

Hayo mabadiliko yamefanyika lini?
 
kaka ndio yeye jamaa nasikia ana ufadhili wa lowasa ila sina uhakika nafuatilia
 
Duuh we unaishi Mtama ya wap hata kuandika majina ya watu hujui...? Salma hawez kuja kugombea Mtama hata cku moja na pia huwez fananisha jimbo la Mtwara ambalo limejitosheleza na lina priority kubwa na jimbo la Mtama
 
Napelwa mnawiye kipindi hiki haombi tena ubungo kupitia CHADEMA
 
Invisible na Moderator kama sijawaelewa kwenye hii post na hiyo poll mliyomuwekea mleta mada. post haielweweki na poll haiewelweki.
 
Last edited by a moderator:
Ni jambo la furaha kwetu maana hakuna halichofanya km mbunge,kitu ambacho wakazi wengi kimewashangazi alipoamua kumleta ndugu nape km mridhi wa jimbo ilo,wananchi HAWAMTAKI ni suleiman mesihuu ndio chaguo pekee kwa wakazi wa mtama ila wasiwasi umetanda JE jina la huyu jamaa anayependwa na kila rika atapitishwa km mgombea?
Bado mnaamini mbunge bora atatoka ccm.?

Na hao waliopita toka ccm wamewafanyia nini cha maana.?

Bora muendelee kupigwa mtama hivyo hivyo.
 
Membe ni mtu makini, msiyumbishwe na propaganda za kisiasa, Mh. anachafuliwa sana kutokana na mbio na Urais, hata hao wanaojiona ni bora kuliko Membe nende majimboni mwao mjionee uhalisia.
 
mimi sijaelewa jinsi ya kupiga kura kwenye mdahalo huu
 
Back
Top Bottom