Ni Nape Nnauye au Suleiman Methuu jimbo la Mtama 2015

Ni Nape Nnauye au Suleiman Methuu jimbo la Mtama 2015

Ukisoma kichwa cha habari hii utajuwa Elimu ya mtoa mada. Hajasoma matumizi ya nukta mbili zilizopandana. Na huyu ndio anawasemea watu wa jimbo la Mtama!!!

Hawa ndio wapambe wa bwana Suleiman Methew anayejiandaa kugombea ubunge Mtama ambaye nguvu ya mgombea mwenzake Nape kwenye ngazi ya Taifa inamtia kiwewe. habari za kuaminika ni kwamba Suleiman ambaye alikuwa mchezaji mpira aliuza viwanja vyake kigamboni ili atenge ela za kugombea na alitumia ela hizo kugawa mipira ya kichina na jezi vijijini pamoja na pweza wa kukaushwa na Jua. Alipoishiwa fedha akaenda kwa Lowassa akimwahidi kumshughulikia Membe na Nape. Lowasa akamtoa mbio kwa kumweleza atoe ujinga wake kwani hana ubavu wa kumshinda Nape aliyeaminiwa na uongozi wa juu wa chama kitaifa na jaribio la Lowassa kumfanya Nape ashindwe ni baya kwa ndoto za urais wa Lowasa. Suleiman hakukata tamaa na badala yake akatembea jimboni akiunda vikundi vya watu kumi kumi na kuwahaidi kuwapa mkopo wa sh 50m kila kikundi. Hadi sasa hajawapa wala kuwatembelea tena.

Kabla Ndugu Suleiman hajatumia vijana kuja kumtangaza jf ni busara akaenda kukutana na vikundi alivyovilaghai huko jimboni kwani ulaghai wake unaondoa imani ya watu kwa chama na kuweka jimbo rehani.
 
Kumewepo kwa hali ya sitofahamu jimboni MTAMA baada ya waziri wa mambo ya ndani ndugu benard membe kutangaza kutogombea tena jimboni hapo.

Ni jambo la furaha kwetu maana hakuna halichofanya km mbunge,kitu ambacho wakazi wengi kimewashangazi alipoamua kumleta ndugu nape km mridhi wa jimbo ilo,wananchi HAWAMTAKI ni suleiman mesihuu ndio chaguo pekee kwa wakazi wa mtama ila wasiwasi umetanda JE jina la huyu jamaa anayependwa na kila rika atapitishwa km mgombea?

Tulikuwa na ndugu MASOUD ALLY CHITENDE aliyeongoza jimbo ilo kwa miaka 15 bila mafanikio na kuachiwa ndugu membe,ubinafs hasa ule wakutaka makao makuu ya wilaya ya mtama yawepo kijijini kwao RONDO ndio haweze kufuatilia suala ilo kitu ambacho kilizidi kuwakatisha tamaa wakazi wa eneo ilo.

tunamsii si jambo la busara hatuwache wenyewe tumpate kiongozi ambaye atakuwa na dira na jimbo letu ambalo wamevuna kwa muda wa miaka 10 na kutuiacha na miradi mingi bila kumaliza....mradi wa CHIUE mradi wa maji ulidumu miaka kumi bila kumalizika,kituo cha polisi,daraja la nachui....!!!
MTAMA KWANZA CHAMA CHAKO BAADAE!!!

Mtama kwenu kuna mambo. Benard Membe kwenu ni Waziri wa mambo ya ndani. Unatumika hadi akili yako inaenda likizo
 
Unajielewa kweli?!!!!


Kumewepo kwa hali ya sitofahamu jimboni MTAMA baada ya waziri wa mambo ya ndani ndugu benard membe kutangaza kutogombea tena jimboni hapo.

Ni jambo la furaha kwetu maana hakuna halichofanya km mbunge,kitu ambacho wakazi wengi kimewashangazi alipoamua kumleta ndugu nape km mridhi wa jimbo ilo,wananchi HAWAMTAKI ni suleiman mesihuu ndio chaguo pekee kwa wakazi wa mtama ila wasiwasi umetanda JE jina la huyu jamaa anayependwa na kila rika atapitishwa km mgombea?

Tulikuwa na ndugu MASOUD ALLY CHITENDE aliyeongoza jimbo ilo kwa miaka 15 bila mafanikio na kuachiwa ndugu membe,ubinafs hasa ule wakutaka makao makuu ya wilaya ya mtama yawepo kijijini kwao RONDO ndio haweze kufuatilia suala ilo kitu ambacho kilizidi kuwakatisha tamaa wakazi wa eneo ilo.

tunamsii si jambo la busara hatuwache wenyewe tumpate kiongozi ambaye atakuwa na dira na jimbo letu ambalo wamevuna kwa muda wa miaka 10 na kutuiacha na miradi mingi bila kumaliza....mradi wa CHIUE mradi wa maji ulidumu miaka kumi bila kumalizika,kituo cha polisi,daraja la nachui....!!!
MTAMA KWANZA CHAMA CHAKO BAADAE!!!
 
kwetu mtama has not made any friends yet.

Date of Birth

March 21, 1989 (25)
The last 2 visitor(s) to this page were:



This page has had 4 visits.

[h=5]Total Posts[/h]Total Posts4Posts Per Day4[h=5]Visitor Messages[/h]Total Messages0Most Recent MessageNever
  • Visitor Messages for kwetu mtama
  • Post a visitor message for kwetu mtama
[h=5]General Information[/h]Last ActivityToday 19:29Join Date

Dogo ana hatari sana,anaingia Jamvini bila kuwaamkia wazee,we dogo noma umeharuka lakini?
5th February 2015

Anajua hata maana ya kuharuka?
 
Back
Top Bottom