Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
MKURUGENZI anaweza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani kienyeji
MKUU WA MKOA anaeeza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani kienyeji
MKUU WA WILAYA anaweza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani
MWENYE KITI WA CCM MKOA anaweza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani kienyeji
MWENYE KITI WA CCM WILAYA anaweza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani kienyeji
KATIBU TAWALA MKOA anaweza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani kienyeji
KATIBU TAWALA WILAYA anaweza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani kienyeji
KUMBE TENA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE anaweza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani kienyeji
VIONGOZI WA CCM WOTE HADI WENYE VITI WA VIJIJI KEA.SASA HUKO WALIKO NAO wanaweza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani kienyeji
MKUU WA IDARA anaweza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani kienyeji
SASA NAJIULIZA wabunge hizi si ndio zilikuwa hoja za kupeleka bungeni zifanyiwe marekebisho badala.ya kupeleja hoja za kipuuzi eti miaka saba camoon
kuwe na mamlaka moja tuu ambayo maamuzi yake si mtu mmoja bali kamati tena kwa kujiridhisha kabisa na kusiwe na.mwana siasa kutia siasa zake za kishamba.kwenue taaluma ya mtu
mtu kapanda ngazi kea ngazi kupata nafasi.hiyo huenda kahudumu serikalini miaka.zaid ya 30 kwa uaminifu kabisa hadi.kufikia cheo hicho
halafu anakuja sijui mkuu wa.mkoa.sijui wilaya ambae hata kubalehe bado ndio kwanza katoka chuo.sijui sekondari.na.kupewa mkuu wa wilaya halafu ati.anakiwa na.mamlaka ya kufukuzisha watu kazi.... ptuuuu kinyaa hiki.
ona kama sasa mkuu wa mkoa sijui wilaya anaropoka tu eti kuanzia sasa bwana KKIMONDOA sio.DR wa wilaya tena kabidhi ofisi , yaani kirahisi tu kama.
Hakuna maendeleo bika mifumo bora ya utawala