Mkalibari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 659
- 400
Jamani mimi naomba kuuliza ni nani anaekosea ktk hili la kupost taarifa muhimu ktk mitandao hapa kwetu bongo?
Maana unaweza ukawa unataka kumjua au kumfuatilia mtu ili uweze kujifunza kutoka ktk taarifa au maelezo yake lakini ukisearch kwa mtandao huwezi pata data ya kutosha.
Mbona wenzetu wameweka ktk mitandao taarifa za watu wao maarufu,wanasiasa,wasanii,wanamichezo n.k ukigoogle tu kitu na box.tofauti na wabongo wetu huku!
Hapa nazungumzia website,special blogs,forums,youtube,encyclopedia/ Wikipedia n.k n.k
Swali: ni kua waaalamu wetu wa mambo ya mifumo na mitandao ya kompyuta ndio wamelala au serikali ndio ilitakiwa kufanya haya(mzembe nani)?