Ni nani mwenye vibe kwa sasa Tanzania kati ya Fiston Mayele , Diamond na Harmonize

Kizoda

Senior Member
Mar 5, 2022
130
296
Hivi kwa hawa watu watatu kwasasa hapa Tanzania unaona ninani ambaye ukitangaza naye biashara vyako utapata faida nyingi au kuwa na vibe kubwa saana hapa Tanzania ?

Kata ya 1 Diamond plt


2 fiston mayele


3 harmonize



1) Diamond


2) fiston mayele style


3) harmonize










IMG_2576.jpg


IMG_2628.jpg
 
Pah pah pah paaaah...x 2
Tunadonoa!

Hapo bado kutetema...
 
ukitangaza naye biashara vyako utapata faida nyingi
Je unadhani kati ya hao ulio wataja, Nani ana 'fan base' kubwa?
Chukulia hao, 'fans wake' kama ndio wateja wako 'tarajali'.
---
Pia angalia 'bajeti yako' je mtu husika atakubali??
 
Jibu utalipata kutokana na rreplies za bandiko lako, anza ku_count.
 
Pa pa pa chwii
Pa pa pa chwii
Pa pa pa chwii

Jigi jigi jigi waaaah

Ni mayeleeee tenaaa
 
Back
Top Bottom