LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Ndg zanguni kuna ishu fulani nataka niifuatilie hapo kiwandani. Kwa anayejua naombeni uwelewa wenu.
Ningependa nifike pale nikiwa on line nasiyo niwe wa kwenda na kuuliza uliza tena maana nina ishu NYETI na sasa nisingependa kuongea na Mbwa ningependa niongea na Mwenye Mbwa mwenyewe.

Mkuu mi nafanya kazi hapo.....maelezo hapo juu ni ya kweli kabisa..... Na kuhusu office ya Dar .....ofisi hiyo imefungwa badala yake ipo Mikocheni...ila office kuu ni Tanga main plant..so swala la mmiliki kama ilivyoorodheswa hapo juu......2009: Company ownership is as follows
62.5% Holcim Mauritius
36.25% Tanzania General Public & Institutions
0.75% Employees Share Trust
With 15000 Tanzanian being the shareholders, Tanga Cement shares trade under its brand name, Simba, at the Dar es Salaam Stock Exchange.
Mie mmoja kati ya hao wamiliki 15000. Kama unadeal tuwasiliane fasta fasta.
Hivi mikocheni haipo Dar?Mkuu mi nafanya kazi hapo.....maelezo hapo juu ni ya kweli kabisa.....nakuhusu office ya Dar .....ofisi hiyo imefungwa badala yake ipo Mikocheni...ila mpiffice kuu ni Tanga main plant..so swala la mmiliki kama ilivyoorodheswa hapo juu......
Ndg hapa nilipo nipo Same naelekea Tanga kwa ajili ya ile ishu wanaJF naombeni uelewa wenu kama mlivyokwishapata ktk thread yangu tafadhalini!
ansia reception hapo kiwandani au ofisi zao hapa dar mirambo 50Ndg zanguni kuna ishu fulani nataka niifuatilie hapo kiwandani. Kwa anayejua naombeni uwelewa wenu.