Ni nani mmiliki wa kiwanda cha Tanga Cement iliyo hapa Nchini?

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,216
Ndg zanguni kuna ishu fulani nataka niifuatilie hapo kiwandani. Kwa anayejua naombeni uwelewa wenu.
 
dah pole sana...naonaona kama heading na maelezo hayaendani!!nadhani ni bora uombe contact za wafanyakazi au management ya pale...then u can make another step!!
Anyway mfano, m-miliki anaitwa mr Chande..sasa sijui kama itakusaidia hii!!
 
Ningependa nifike pale nikiwa on line nasiyo niwe wa kwenda na kuuliza uliza tena maana nina ishu NYETI na sasa nisingependa kuongea na Mbwa ningependa niongea na Mwenye Mbwa mwenyewe.
 
2009: Company ownership is as follows

62.5% Holcim Mauritius
36.25% Tanzania General Public & Institutions
0.75% Employees Share Trust

With 15000 Tanzanian being the shareholders, Tanga Cement shares trade under its brand name, Simba, at the Dar es Salaam Stock Exchange.

Mie mmoja kati ya hao wamiliki 15000. Kama unadeal tuwasiliane fasta fasta.
 
Ningependa nifike pale nikiwa on line nasiyo niwe wa kwenda na kuuliza uliza tena maana nina ishu NYETI na sasa nisingependa kuongea na Mbwa ningependa niongea na Mwenye Mbwa mwenyewe.

Duh hizi lugha hizi...mkifungiwa mageti mnaanza kulaumu...umeona mchanganuo wa EMT ulivyo??sasa sijui utamwona nani??ny goodluk
 
Duh! Ss EMT nitadhibitishaje ya kwmb wewe ni mmoja wao. Mi niko serias tafadhali!
 
Ningependa nifike pale nikiwa on line nasiyo niwe wa kwenda na kuuliza uliza tena maana nina ishu NYETI na sasa nisingependa kuongea na Mbwa ningependa niongea na Mwenye Mbwa mwenyewe.

Kaka hizo ni dharau za kuwadharau ndugu zako (Watz Wenzako) Pls omba samahani kwa Watz
 
Mkuu! Kama kuna Ndg yeyote atakeyenielewa tofauti ama niliyesema naye ktk lugha chafu basi nawaambia NIWATAKE RADHI ila wasiniache mbali ktk thread yangu ya Mmliki wa kiwanda cha Tanga Cement ni nani?????
 
yaonekana una dharau wewe!mwenye kiwanda mfate mauritius maana ndiye mwenye hisa nyingi!vinginevyo muone md wa tanga cement ofisi ipo international house dar
 
Ningependa nifike pale nikiwa on line nasiyo niwe wa kwenda na kuuliza uliza tena maana nina ishu NYETI na sasa nisingependa kuongea na Mbwa ningependa niongea na Mwenye Mbwa mwenyewe.

Hivi nani Mbwa? Ni sisi Watanzania.
 
2009: Company ownership is as follows

62.5% Holcim Mauritius
36.25% Tanzania General Public & Institutions
0.75% Employees Share Trust

With 15000 Tanzanian being the shareholders, Tanga Cement shares trade under its brand name, Simba, at the Dar es Salaam Stock Exchange.

Mie mmoja kati ya hao wamiliki 15000. Kama unadeal tuwasiliane fasta fasta.
Mkuu mi nafanya kazi hapo.....maelezo hapo juu ni ya kweli kabisa..... Na kuhusu office ya Dar .....ofisi hiyo imefungwa badala yake ipo Mikocheni...ila office kuu ni Tanga main plant..so swala la mmiliki kama ilivyoorodheswa hapo juu......
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kwani kufanya deal na kiwanda lazima uonane na mmiliki au wa kuonana nao ni UONGOZI wa kiwanda???Taabu yetu tushazoea MICHONGO; wewe mwenye kiwanda unamtakia nini??Unataka kukinuunua nini??
 
Ndg hapa nilipo nipo Same naelekea Tanga kwa ajili ya ile ishu wanaJF naombeni uelewa wenye kama mlivyokwishapata ktk thread yangu tafadhalini!
 
Ndg hapa nilipo nipo Same naelekea Tanga kwa ajili ya ile ishu wanaJF naombeni uelewa wenu kama mlivyokwishapata ktk thread yangu tafadhalini!
 
Mkuu mi nafanya kazi hapo.....maelezo hapo juu ni ya kweli kabisa.....nakuhusu office ya Dar .....ofisi hiyo imefungwa badala yake ipo Mikocheni...ila mpiffice kuu ni Tanga main plant..so swala la mmiliki kama ilivyoorodheswa hapo juu......
Hivi mikocheni haipo Dar?
Ndg hapa nilipo nipo Same naelekea Tanga kwa ajili ya ile ishu wanaJF naombeni uelewa wenu kama mlivyokwishapata ktk thread yangu tafadhalini!

Nenda kaongee na uongozi wa kiwanda. Huwezitaweza kuongea na mwenye kiwanda. Kiwanda kinamilikiwa na zaidi ya watu 15,000. Na wengi hawaishi Tanga.

Kama issue yako ni nyeti tutaijadili kwenye general meeting ya wamiliki.
 
POA EMT! Na kwa majr hy nipo hapa Korogwe nafanya mpango wa kutafuta malazi hapa early morning niingie njia moja.
 
EMT! Uko cha wapi? Mi ndiyo nimebakiza kilomita kadha kuingia Tanga Cement Company.
 
Sasa si ungeingia kwenye web site.Ama ulikuwa unataka mtu wa kuongea nae kimtindo?Na mie ni mmiliki (nadhani nahodhi shares 0.00001% manake laki si pesa tena). Pm me ur issue kama iko moral tuongee
 
Hii issue iliishia wapi vile? Nitafurahi sana kama muanzisha thread atarudi kuja kutoa mrejesho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom