Tangu sakata la Jerry Muro liibuke mjadala umeelekea kwenye ' nadharia ya njama'.
Jeshi la Polisi ndilo linaloonekana kutupiwa lawama zaidi. Nahofia hatulitendei haki. Mimi najaribu kuvaa ' miwani ya giza'. Nina kiu ya kutaka kujua ukweli mzima wa sakata hili. Maana kuna wenye kuujua ukweli mzima, na ukweli ni mzigo mzito. Haubebwi na mtu mmoja, husambazwa, watu wakafahamu. Bila shaka tuko wengi wenye kiu hii. Na huu si wakati wa kutoa hukumu ' kishabiki'. Tuache sheria ichukue mkondo wake.
Na kuhusu Jerry Muro. Binafsi nimebahatika kukutana na hata kufanya kazi na wanahabari wengi wa Tanzania. Nasikitika sijapata kukutana na Jerry Muro. Nimemfahamu Jerry Muro kupitia runinga tu, haijapita zaidi ya miaka miwili tangu nianze kusikia jina lake na kumwona kwenye televisheni. Kuna mliosoma naye, kuna mliefanya kazi naye. Na mtusaidie kumwelezea Jerry Muro ili nasi tumfahamu alikotokea, tujue hapo alipo sasa, na itusaidie kupata picha ya wapi anakokwenda.
Hamna issue nyingine!? Muro Muro!!
Hamna issue nyingine!? Muro Muro!!
Tangu sakata la Jerry Muro liibuke mjadala umeelekea kwenye ' nadharia ya njama'.
Jeshi la Polisi ndilo linaloonekana kutupiwa lawama zaidi. Nahofia hatulitendei haki. Mimi najaribu kuvaa ' miwani ya giza'. Nina kiu ya kutaka kujua ukweli mzima wa sakata hili. Maana kuna wenye kuujua ukweli mzima, na ukweli ni mzigo mzito. Haubebwi na mtu mmoja, husambazwa, watu wakafahamu. Bila shaka tuko wengi wenye kiu hii. Na huu si wakati wa kutoa hukumu ' kishabiki'. Tuache sheria ichukue mkondo wake.
Na kuhusu Jerry Muro. Binafsi nimebahatika kukutana na hata kufanya kazi na wanahabari wengi wa Tanzania. Nasikitika sijapata kukutana na Jerry Muro. Nimemfahamu Jerry Muro kupitia runinga tu, haijapita zaidi ya miaka miwili tangu nianze kusikia jina lake na kumwona kwenye televisheni. Kuna mliosoma naye, kuna mliefanya kazi naye. Na mtusaidie kumwelezea Jerry Muro ili nasi tumfahamu alikotokea, tujue hapo alipo sasa, na itusaidie kupata picha ya wapi anakokwenda
Bila kusahau ni mtu wa usalama wa taifa!nimesoma naye kozi tofauti chuo kikuu, ni rafiki yangu
yeye alisoma 'sociology'
a very determined young person, he had a dream and he wanted to live it (baada ya kupitia rapsha kadhaa za maisha ya kifamilia)
amefanya kazi za utangazaji tangu tukiwa chuoni (alisoma na kufanya kazi part time), ATN, PRT (WAKATI HUO), ITV na saa TBC!!!
Bila kusahau ni mtu wa usalama wa taifa!
Hilo nalo neno mkuu!!Bila kusahau ni mtu wa usalama wa taifa!
Naona Muro anachukua nafasi ya Zitto sasa,maana kuna kipindi ilikuwa kila ukiamka wakutana na thread ya Zitto,leo hii kila wakati ni 'masredi' tu ya Muro,inakera
Halafu inazidi kubore pale ambapo threads zinakuwa too nyingi bila mpangilio maalumu. Sasa Ni nani Jerry Muro ndani ya Siasa, kwenye habari mchanganyiko, kwenye celebrity ah. Inachosha machoHamna issue nyingine!? Muro Muro!!
Mkulu,
kuna kitabu fulani nina kisoma hapa (kinaweza kisiwe kinalandana na maada,ila nimeona ina faa),kunasehemu mwandishi anam-quote mtu akisema,,"Every thing is made known to man by its opposites".
Sasa they the way i see it,mtoa mada alitaka kumjua zaidi Bwn.Muro kupitia mkasa huu (the opposite,my take) basi tuwaache wenye kujua watuambie jamaa ni nani hasa ili tuwe na ufahamu nae
Jerry Muro ni kijana mjasiri sana na ni mkakamavu haogopi mtu namfananisha kwa Tiddo Mhando[/QUOTE]
kumfananisha na tido ni kosa sana... hawafanani kabisa tafadhali!!!!!!!!!
bht aksante kwa taarifa hizi- ni mwaka gani hiyo sociology? Huwenda nikawa namfahamu.nimesoma naye kozi tofauti chuo kikuu, ni rafiki yangu
yeye alisoma 'sociology'
a very determined young person, he had a dream and he wanted to live it (baada ya kupitia rapsha kadhaa za maisha ya kifamilia)
amefanya kazi za utangazaji tangu tukiwa chuoni (alisoma na kufanya kazi part time), ATN, PRT (WAKATI HUO), ITV na saa TBC!!!
Halafu inazidi kubore pale ambapo threads zinakuwa too nyinigi bila mpangilio maalumu. Sasa Ni nani Jerry Muro ndani ya Siasa, kwenye habari mchanganyiko, kwenye celebrity ah. Inachosha macho
Nimekusoma vizuri sana kiongozi wangu,nazungumzia tu masredi mengine yanayochipuka kama uyoga kumhusu JM...Maana jana kuna thread mtu kaeleza vizuri sana wasifu wa Jerry Muro..Pamoja mkuu