Ni nani huyu Kondo Tutindaga!!

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifatilia makala zake toka alipokuwa akiandikia Mwanahalisi na sasa Mawio!!
Ni mwandishi ambaye anaonesha kuwa na uelewa mkubwa kuhusu chama cha Mapinduzi, kilipotoka mpaka sasa na kinapoenda.

Je Kondo Tutindaga ni nani ndani ya CCM? Kama kuna mtu ana taharifa zake napenda kuzifahamu zaidi

cc. Pasco
 
Last edited by a moderator:

ni Abdalahman Kinana mzee wa Pembe
 
Ni Juma Kapuya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom